Kibonde ataka Bia iruhusiwe maofisi ya Serikali

yaani nilivyokuwa simpendi Kibonde kwa mada zake dhaifu,nikimkuta anangatwa na nyoka na muuwa kibonde na mwacha nyoka haendezake,mana nyoka anaumuhimu kushinda kibonde

Nilidhani utasema ukimkuta nyoka anamn'gata Kibonde utamkatia katia kachumbari nyoka. Teheteheeee
 
Kibondee daima mambo yako vilevile tangu tukiwa mahorofani mpaka leo uchokiii???
Umewaingilia waleee jamaa zetu wa salooni na simu za majamaa, mara mchepuko leo bia kiwandani si tutakufa na miumemeee
 
1: Bia moja ukinywa utalewa?
2: Mbona wengi tu mnakunywa bia SAA NA wakati wa kazi?
3: Pita grocery mchana siku za kazi waangalie wanaokunywa bia kama sio wafanyakazi.
4: Bia moja ni sehemu ya chakula.
 
Kwenye kipindi cha Jahazi jioni hii, mtangazaji Ephraim Kibonde amependekeza Bia (Bariidi!) zipatiwe wafanyakazi maofisini kwa sababu zifuatazo;

1. Wafanyakazi watazidisha biidii ya kwenda kazini.
2. Mazungumzo baina ya wafanyakazi na Mabosi wao yatakuwa ya uwazi zaidi (kwani watu wakishalewa wanaongea kwa uwazi zaidi bila hofu!)
3. Malalamiko ya kuongezwa mishahara hayatakuwepo.

Comedian
 
Back
Top Bottom