Kibonde apewa siku tatu kuomba msamaha wanafunzi wa chuo kikuu cha udsm

Mrx

Member
Feb 6, 2011
22
7
Baada ya wanafunzi wa UDSM kuandamana na kutaka waengezewe posho, kibonde atoa mbofumbofu katika kipindi cha jahazi kwenye CLOUDS FM. kwa kuwaambia wanafunzi kuwa wanadai pesa wakati wanavitu vya thamani na pia kuwa wanataka kuendea mabaa, madisko na maklabu ambako yeye anapishana nao huko.
 
Nadhani sasa umefika wakati wa kuwaminya makoo wale wote wanaojipendekeza na kuleta ushabiki wa kijinga.
Wanafunzi waanze na Kibonde.
Wala hawakutakiwa kumpa siku 3 walitakiwa kumfanyia mara moja hii ingekuwa ni fundisho kwa wote wanao jikomba.
Hata akiomba radhi ni vema wampe kisago.
 
Kibonde anapaswa kufundishwa kutumia mdomo wake vizuri

huwa anaropoka mpaka inakuwa ngumu kumpatia tafsiri
 
Kapewa siku tatu na nani? Na asipoomba radhi atafanywa nini?
 
waungwana naomba kuuliza kwani kibonde ana elimu kwa kiwango gani jamani? manake hoja zake siku zote ni za ushabiki tu na udaku!!! nina mashaka na "IQ" yake huyu mtu!
 
Jamani sisi wengine tuko mbali na hatuna access na FM Clouds, sasa mnaweza angalau kutuwekea picha yake humu jamvini katika thread hii? pleaseeee...
 
Baada ya wanafunzi wa UDSM kuandamana na kutaka waengezewe posho, kibonde atoa mbofumbofu katika kipindi cha jahazi kwenye CLOUDS FM. kwa kuwaambia wanafunzi kuwa wanadai pesa wakati wanavitu vya thamani na pia kuwa wanataka kuendea mabaa, madisko na maklabu ambako yeye anapishana nao huko.

ye2 haimuhusu coz sisi ndio 2naojua ugumu wa maisha ya sasa hlf atuambie twaenda nazo klabu. That's part of daily life huwez nga'2nia ktb bila kurefresh mind.
 
anaishi wapi tumfuate kwake?
anasema anaishi maeneo ya external ubungo,so siyo mbali na wanapoishi wanafunzi wa udsm -Mabibo hostel,ndo maana anajua kuwa wanatumia boom la kusomea baa na kuleta bugudha wakati yeye kibonde akiwa maeneo ya jirani na kwake e.g club le mambo ,ubungo etc
 
Jamani sisi wengine tuko mbali na hatuna access na FM Clouds, sasa mnaweza angalau kutuwekea picha yake humu jamvini katika thread hii? pleaseeee...
e kibonde.JPG
 
Nadhani sasa umefika wakati wa kuwaminya makoo wale wote wanaojipendekeza na kuleta ushabiki wa kijinga. Wanafunzi waanze na Kibonde.Wala hawakutakiwa kumpa siku 3 walitakiwa kumfanyia mara moja hii ingekuwa ni fundisho kwa wote wanao jikomba.Hata akiomba radhi ni vema wampe kisago.

:clap2:
 
Kwani kibonde kafika huko kwenye elimu ya juu.... kama hajafika huko mclaumu...... kitanda usicholalia hujui kunguni wake....
 
Back
Top Bottom