kibonde afiwa na ndugu yake mwananyamala hospital

Watz tukubali kifo sio adhabu kila kiumbe hai kitavuta hata KIBONDE hakuna atakayeishi milele huyo ndugu yake kibonde kulikuwa hakuna haja ya kujaza serva hapa kwa misiba kama ya huyu mapengo.
 
huyu dr alianza kubania safari za india unategemea serikali impende?


Serikali makini isingeruhusu huu mgogoro kati ya NSSF na Dr. Masau ufikie hapo ulipofika; kwani kwa kuwapeleka wagonjwa kupata tiba kwenye hospitali yake badala ya kuwapeleka India huyu daktari angemudu kulipa bili zake zote!! Kumbukeni tu kuwa mama Anna Abdalla alipokuwa waziri wa Afya aliomba kupewa hisa kwenye hiyo hospitali na mara aliponyimwa ndio matatizo ya huyu daktari na hospitali yake yalipoanza; hawa viongozi wa chama cha magamba ni manyang'au waume kwa wake!!
 
Ingawa si vyema kufuraia msiba au mtu kufa, lakini kwa ili la Kibonde nimefurah sana, anajifanya ana mdomo mrefu kama mkwer*e kwenye ishu ya madaktari kutai haki yao, amekuwa kama mzaramo awapo ngomani... sasa si angeenda kumtibu yeye huyo ndugu yake...
 
kionde ni nani mpaka tuanze kumjadili humu,wangapi wamefiwa na ndugu zao kutokana na mgomo wa madaktari na hawasemi chochote?tusiwapaishe watu pasipo kuwa na msingi wowote.huyu kibonde ashaonekana mapema yeye ni gamba then akawaponda hao madaktari na sasa ameonja joto yake,tuachane nae tujadili mambo ya msingi?
 
Huyu kibonde huwa simuelewi maana ni kama mwajiriwa wa Serikali vile na si mtangazaji. But kwa hili la msiba nampa Pole
 
Sasa ndipo ataweza kutofautisha umuhimu wa kada ya afya na kule kubwabwaja kwake, amekuwa mfuasi wa serikali ya magamba kwa muda mrefu

Alikuwa anategemea kupewa ukuu wa Wilaya.. Ikala kwake. Watangazaji wa Clouds FM kwa kweli si ridhiki kabisa... midomo yao imejaa mipasho... brain zao zitakuwa na fangasi wa kutosha kama alivyo DHAIFU..
 
i katika kujipendekeza kwenu kwa ccm tunaomba mjichunge kila mtembeapo jihadharini na mabinti na mjichunge mnakula na kunywa wapi lazima tuondoke na mmoja wenu halafu mapata lessons maana watanzania wanteseka sababu ya serikali ya kufisadi na nyie mnashabikia hali hii especialy kitendo cha gerald hando lazima tujibu mapigo wenzenu watakuwa bungeni na sisi nanyie god bless you guys watch your backs:embarassed2:
 
Bw KIBONDE pole sana MUNGU atakupa nguvu sote tupita huwezijua hata wasingegoma nao wataugua na watarudi mavumbini
 
napita jamani mambo ya kibonde sitaki kabisa kuyajadili huwa anajifanya anajua kila kitu anaponda vitu hata hajui undani wake ili mradi tu kaongea napita jamani.
 
Sasa ndipo ataweza kutofautisha umuhimu wa kada ya afya na kule kubwabwaja kwake, amekuwa mfuasi wa serikali ya magamba kwa muda mrefu

Ingawa si vyema kumwombea binadamu mwezio mabaya, lakini ninaomba sana yeye Kibonde au mweziwe Hando waugue halafu wapelekwe hoi hospitali yoyote hivi karibuni, madaktari kokote mlipo wakitokea hawa.... please do the needful kwao!!
 
Back
Top Bottom