Kiboko ana uwezo wa kukaa ndani ya maji kwa muda gani?

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Wadau nipo Utete huku kuna bonge la bwawa ambalo wenyeji wanasema kuna mamba kama samaki,pia kuna viboko wengi sana nasikia wanalia sana kwenye maji ila sijamuona hata mmoja,hv wanauwezo wa kukaa muda gani ndani ya maji?
 
Back
Top Bottom