Wadau nipo Utete huku kuna bonge la bwawa ambalo wenyeji wanasema kuna mamba kama samaki,pia kuna viboko wengi sana nasikia wanalia sana kwenye maji ila sijamuona hata mmoja,hv wanauwezo wa kukaa muda gani ndani ya maji?