'Kibinti' cha Kapuya kina kiherehere

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
81
Kuhusu Kapuya yamesemwa mengi lakini ukweli ni kwamba mabinti wamezidi tamaa na baadhi ya mama zao wanawatumia kama vitegauchumi? Hicho kibinti kililala na Kapuya kwa makubaliano kama wanawake wengine. HAKUBAKWA.
 
Muvi imeanza tena.
 
Ulikuwepo au umesikia hivyo?
 
Kuhusu Kapuya yamesemwa mengi lakini ukweli ni kwamba mabinti wamezidi tamaa na baadhi ya mama zao wanawatumia kama vitegauchumi? Hicho kibinti kililala na Kapuya kwa makubaliano kama wanawake wengine. HAKUBAKWA.

na wewe umikuja kumtetea mzee wa akudo..
 
Udaku.jpg
 
Kuhusu Kapuya yamesemwa mengi lakini ukweli ni kwamba mabinti wamezidi tamaa na baadhi ya mama zao wanawatumia kama vitegauchumi? Hicho kibinti kililala na Kapuya kwa makubaliano kama wanawake wengine. HAKUBAKWA.

Tumia akili ww ... uliza maana ya kubakwa kisheria sio kutumia maana za mtaani. Issue ya Kapuya sio swala La kukubaliana au kupewa hela. Kapuya knows better kwamba kufanya mapenzi na under 18 Ni kosa la jinai...haijalishi kama alidanganywa au walikubalina....kifupi Ni kwamba hakuna hiari once swala la underage linapohusika.

Endeleeni tu kumtetea JAK kwa sababu inakubakika pia kisheria. Binafsi napata shida kuwa JAK Ni mtunga sheria irrational as he is!
 
wewe Waambi Ndio msemaji wake sio !? Hebu tupe issue zake ....
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu Kapuya yamesemwa mengi lakini ukweli ni kwamba mabinti wamezidi tamaa na baadhi ya mama zao wanawatumia kama vitegauchumi? Hicho kibinti kililala na Kapuya kwa makubaliano kama wanawake wengine. HAKUBAKWA.

Mmh tulishasahau issue ya kapuya imerud tena?kuna jipya au yaleyale
 
Kuhusu Kapuya yamesemwa mengi lakini ukweli ni kwamba mabinti wamezidi tamaa na baadhi ya mama zao wanawatumia kama vitegauchumi? Hicho kibinti kililala na Kapuya kwa makubaliano kama wanawake wengine. HAKUBAKWA.

ukiwa na akili ndogo sana ndo unaweza kutoa hitimisho hili pasipo hoja za msingi ama kwa hoja za kijinga
 
Mmmh mbona tunajua hilo basi tu watu wana yao mengine.......nilikuwa napita lakini....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom