Maria Nyamhanga
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 130
- 25
Anahitajika msichana mwaminifu, mchangamfu,mwenye bidii. kuanzia umri wa 18 na usiozidi 35. kazi ya kuuza duka la nguo sinza. Anaeishi karibu na eneo la kazi.. ajue kusoma na kuandika kwa ufasaha. Kwa muhitaji ani pm.