Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,073
- 6,251
Tunasubiri majibuJaman tumepewa code hapo juu HAHM ndyo Nani tunaomba wajuz muifungue
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tunasubiri majibuJaman tumepewa code hapo juu HAHM ndyo Nani tunaomba wajuz muifungue
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hussein Ally Hassan Mwinyi.Jaman tumepewa code hapo juu HAHM ndyo Nani tunaomba wajuz muifungue
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani wewe chawa Lengo lako hasa maishani ni Lipi. Unadhani ulaya na marekani wanasiasa hawaviziani kuangushana. That’s normal. Sisi watu wa kawaida ndo wapumbavu tunakaa kutunga Hypotheses kuridhisha yaliyomo vichwani mwetu kama ushabiki wa Simba na Yanga. Weakness yenu kubwa Ni kufanya haya mawazo sehemu yako ya maisha katika furaha na huzuni. That’s why ukiona dalili ya kukaa pamoja tu kwako inakuwa kama mkeo kuenda Movie na x Wake na kulala huko.
Sahihi kabisaMwanzo ni mzuri. Tuhukumu kwa mengine
Pamoja tutawezabkuzibadili siasa za majitakaHamna shida jamaa yangu.
Mbowe hajawa rafiki wa serikali na wala hawezi kuwa rafiki wa serikali.
Hapa tunaongelea vitu hai na watu walio haiM
Magufuli aliwashauli mapema kuwa achaneni na siasa za matusi na uhanarakati mkashupaza shingo,mkazani Wazungu watawasaidia,mmeacha mmeisha umia eti Ndio mnataka kufanya siasa za usitarabu ili Mama yenu atawale vizuri, Upuuzi mtupu
Bila shaka wewe utakuwa kama sio Polepole basi utakuwa Musiba. Da!! Mnatia huruma sanaSamia hawezi siasa za ikulu na siasa za majukwaa ya nyomi na zomea zomea, na hata hivo ni Rais wa kipindi cha mpito 2021-2025 , hawezi na hataweza kuwa mgombea wa ccm hio 2025.
Mgombea mwenye hadhi hio na anaemudu viatu vya ikulu anafahamika na anaendelea vizuri na tuition ya Urais.
Pigeni mayowe vuvuzela ila Samia anaishia 2025, Marais wa Zali la mentali mwisho 2025.
HAHM ije mvua ije jua ije ukame ije mafuriko habari ndio hiyo.
Hilo linajulikana isipo kuwa kwa hao chawa wa sukuma gangYeye ndiye anabeba dhamana ya Taifa. Lakini pia wadau wakubwa wenye heshima zao kama TL na FAM wakishirikiana matokeo ni makubwa
Wale wote ni wajinga wa kisiasa na nawaombea ikiwapendeza watawala basi wawatupie viragoHawa woote kazi hawana. Teuzi wataziona kwa macho tu kwenye Itv.
Mkuu wachana na hao kenge kwenye msfara wa mambaYaani Mbowe kusota kote ndani na unyanyasaji wote aliofanyiwa,aje kywauza watu wake sasahivi???
Mbona ushindi upo karibu!
Sidhani kama hata anafikiria hilo.
All precautions considered.
Tindo unadhani wewe u a maumivu kuliko Freeman?
Watu wanashindwa kuelewa kuwa siasa ni mkakatiMbowe hajawa rafiki wa serikali na wala hawezi kuwa rafiki wa serikali.
Yupo kwao chaliii kifo cha mendeBaada ya watu wa vita kuzuia mawakala wa chama chetu kuapa na kupeww barua za utambulisho. DED kajukumuguru nadhani walishamtumbua awamu hii.
Hata Kikwete alisha wahi sema kuwa ukitaka kula nawe unaliwa,mkapa aliwahi kuwaita Wapinzani ni wapumbavu, Lissu aliwahi kuwaita Maprofessors rubbishy,hizo ndizo kauli za wanasiasa inategemea kahamukaje Siku hiyo, lakini JPM aliwashauli mapema chadema kuwa tutangulize taifa Kwanza vyama vyetu badae wakaleta nyodo,wakadhani Magufuli atakuwa mwepesi Kama Kikwete,kilichofuata kila Mtu anajua,eti sasahivi Ndio wanataka siasa za kistarabu, mbona walikataa tangu mwanzo?ngoja mwone Mbowe anakwemda kuwa kama mrema, kutegemea fadhila za ccm ili apate ubunge wa viti maarumu,unacheza na ccm yetu macho,hata mwanzo Wakati wanamkaribisha Lowassa tulisema tukatukanwa hivi hivi, lakini mpaka Sasahivi chama hutujui kinasimamia Nini,kimebaki kudandia hoja za kila Mtu, lakini mwanzo tulijua chadema inapingana na ufisadi na rusha iliinuka kupitia agenda hizo.Magu hakuwa mwanasiasa bali mlevi wa madaraka. Hakuna mwanasiasa mstaarabu asiyetaka matusi anaweza kuwaambia wananchi wake wabaki na mavi yao nyumbani. Zungumzia mtu mwingine sio yule mshenzi.
AminaWale mnaoungulia rohoni poleni. Sisi wanachadema halisi tunasonga mbele. Mbowe tunamuunga mkono 100%
Uwezi hangalia ulipo angukia tu,angalia na ulipojikwaa,upofanya hivo kila siku ukipita njia hiyo utaanguka tuHapa tunaongelea vitu hai na watu walio hai
Ni jambo jema kwa kuwa Rais ameachana na siasa za mitulinga. Tumefikia hatua hii kwa jasho na damu, tumelipa gharama hapa tulipofika " alisema kiongozi huyo.Sasa nu rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani.
Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kitafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa.
Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Antiphas Lissu ameungi mkono jambo zuri alilofanya Mh Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama hicho kuwa ni jambo jema.
Ni jambo jema kwa kuwa Rais ameachana na siasa za mitulinga. Tumefikia hatua hii kwa jasho na damu, tumelipa gharama hapa tulipofika " alisema kiongozi huyo.
Aliongeza kuwa Mbinu na mikakati iliyotumika kuishi wakati za awamu ya tano haiwezi kuzaa matunda wakati wa awamu ya sita kwani wakati huo tuliamua kubadilika kwa ajili ya Individual survival.
Jambo hili limeungwa mkono na wadau mbali mbali wa siasa na watanzania woote wakidai kuwa sasa tunaelekea Tanzania Mpya.
Wito kwa vyombo vingine vya serikali viige mfano mwema wa Rais Samia.
Wikendi njema
Hata Kikwete alisha wahi sema kuwa ukitaka kula nawe unaliwa,mkapa aliwahi kuwaita Wapinzani ni wapumbavu, Lissu aliwahi kuwaita Maprofessors rubbishy,hizo ndizo kauli za wanasiasa inategemea kahamukaje Siku hiyo, lakini JPM aliwashauli mapema chadema kuwa tutangulize taifa Kwanza vyama vyetu badae wakaleta nyodo,wakadhani Magufuli atakuwa mwepesi Kama Kikwete,kilichofuata kila Mtu anajua,eti sasahivi Ndio wanataka siasa za kistarabu, mbona walikataa tangu mwanzo?ngoja mwone Mbowe anakwemda kuwa kama mrema, kutegemea fadhila za ccm ili apate ubunge wa viti maarumu,unacheza na ccm yetu macho,hata mwanzo Wakati wanamkaribisha Lowassa tulisema tukatukanwa hivi hivi, lakini mpaka Sasahivi chama hutujui kinasimamia Nini,kimebaki kudandia hoja za kila Mtu, lakini mwanzo tulijua chadema inapingana na ufisadi na rusha iliinuka kupitia agenda hizo.