Kibao kipya cha member mwenzetu Don Nalimison

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
2,198
3,566
Kwa wote mnaomchukulia poa Don,hebu tumieni dakika nne kuangalia video mpya ya member mwenzetu wa JamiiForums asiyeishiwa vioja DON NALIMISON

Tunatafuta meneja tu sasa tuanze fanya show za mikoani na yeyote mwenye wazo anaweza wasiliana na Don

 
Hiyo kazi ametoa mwenyewe don au imehakiwa kwenye cm yake?

isijekuwa alijiandalia kusikiliza mwenyewe na washkaj zake wa karibu hlf nyie mmeileta uku.

Wew uliepost hiyo ni commercial kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom