Kibano; Wakili Chadema Vs Shahidi Jamhuri mauaji ya Akwilina

Bado kesi inaendelea maswali yataendelea
alitakiwa apigwe maswali ya leading,mfano siku fulani tarehe fulan mida fulani hadi fullani unaweza kutueleza ulikuwa wapi na unafanya nini?
Hilo swali unamuuliza baada ya kumchangana na hayo maswali hapo juu,atakurupuka na kusema sijui,una hakika hujui?
Ndiyo sijui,
kumbe siku hiyo ndo ya tukio,
sasa kama hujui tarehe na mda wa tukio unafanya nini hapa kama shahidi?

Oooh,sorry nilisahau,
what?ati ulisahau kwani hapa unatoa ushahidi wa nini?
"Ooh,sorry mheshimishiwa hakimu,objection,wakili ako na maswali ya mitego yananichanganya"
 
Akili za kuambiwa changanya na za kwako JK
Mnawalaumu tu hawa askari!
Hawa wanatumwa tu na hawawezi kataa kufanya wakitumwa sababu hamna sheria ya kuwalindia kazi yao,na tukumbuke kazi hii ndiyo inafanya waishi wao na familia yake!

Kama tungekuwa na sheria ya kulinda hawa askari wetu asipoteze kazi akikataa amri haramu ya wakubwa zake haya yasingekuwepo!

Hapa hamna kesi ni upuuzi tu
Z
 
MAHAKAMANI PANA RAHA SANA KUSIKILIZA WENGINE, ILA WEW UKISIMAMA KIZIMBANI NI NOMA. HAPA SHAHIDI AMEMBURUZA WAKILI, WAKILI KAPWAYA. MLETA MADA ANGELETA NA EXAMINATION IN CHIEF NA RE CROSS EXAMINATION, MAGAPE YOTE YATAKUWA YAMEFUNIKWA. TUSIKARIRI UPANDE MMOJA.
 
MAHAKAMANI PANA RAHA SANA KUSIKILIZA WENGINE, ILA WEW UKISIMAMA KIZIMBANI NI NOMA. HAPA SHAHIDI AMEMBURUZA WAKILI, WAKILI KAPWAYA. MLETA MADA ANGELETA NA EXAMINATION IN CHIEF NA RE CROSS EXAMINATION, MAGAPE YOTE YATAKUWA YAMEFUNIKWA. TUSIKARIRI UPANDE MMOJA.
Ni re examination mkuu na si re cross examination.
 
Acha kufanya watu wajinga kuwa hawajui yanayoendelea Duniani! Lengo la Cross Examination Dunia Nzima Ni kubomoa kesi ya Upande mwingine! Kwenye cross examination swali lolote lenye lengo la kuibomoa ama kuondoa credibility ya Shahidi huulizwa. Conclusion ya Maswali ya Kibatala kwa Shahidi Ni kuwa Jamuhuri imeleta Key Witness ambae ameivuruga kesi Upande wa Jamuhuri. Alipaswa kuithibitishia Mahakama kuwa Mashtaka yote dhidi ya Viongozi wa Chadema Ni kweli bila kuacha Shaka ya Aina yoyote, AMESHINDWA KUFANYA HIVYO BAADA YA KUBOMOA KWA MIKONO YAKE MWENYEWE EXAMINATION IN CHIEF! KIUFUPI KAJA KUELEZA UMBEA (HEARSAY), ambao huwa haupokelewi MAHAKAMANI!
Bora wewe kuna kitu unafaham!
 
Ukiwa na kiubongo kama chako lazma uone hivyo
Mwenzangu una liubongo likubwa na ndio maana mpka Leo uko hapo ulipo kwa uwezo huo wa ufikiri.weng mnadhani kibatara kamtoa nje shahid lakn kibatara ndio katolewa nje shahd katoa majibu kwa Yale yanayo mhusu tu.jifunzen vizuri sheria sio umetoka chuon nakupewa chet kwa kuvuliwa chupi ujione unajua.
 
Wakili Kibatala: Unafahamu kuwa Msangi aliwekwa ndani (mahabusu)kwa muda juu ya kifo cha Akwelina?

Shahidi: Siju
 
Freedom is there
IMG-20180430-WA0083.jpeg
 
Back
Top Bottom