Kibano cha Ngeleja Bungeni: Hotuba ya Madini na Nishati 2011

Status
Not open for further replies.
Umeme umekatika Bungeni....Na sasa Ngeleja haonekani tena kwenye TV....! Leo patachimbika!

Mimi nataka kulipuke kabisa huko Ukumbini, kama ningekuwa Mbunge ningemrukia Ngeleja na kumuacha na manundu umeme ukirudi wamkute yupo chali chini
 
Wa-Tanganyika, nchi tamu na yenye heshima, even the most expanding will burst at its elastic limit! No giving in, tutafanya na wakati ni sasa!
 
Wakati Naibu Speaker akimkaribisha waziri wa Nishati na Madini, ametahadharisha kuwa wabunge walioomba kuchangia ni wengi sana hivyo watakaopewa kipaumbele ni wale ambao hawajawahi kuongea kabisa na wale waliowahi kuchangia mara moja tu. Maana yake ni kwamba watu makini kama Tundu, Mbowe, Zitto, Mdee n.k hatutawasikia. JAMANI HUU NI UKATILI MKUBWA SN KWA WATANZANIA, KWANINI KWENYE BAJETI YA NISHATI NDIO WATOE KIPAUMBELE KWA BUBU, WANANCH TUFANYEJE JAMANI? HII SI ISHARA NZURI NA HAIVUMILIKI
 
hapo ameandaa mazingira kwa wizara kutokupata upinzani
maana wasioongea siku zote kwa nini waongee kwenye siku na wizara ambayo watanzania wangependa ki\usikia kinachoendelea???
 
hivi napotoa wazo la kupeleka umeme vijijini .. ni umeme upi ??? maana huwezi kuwaza kuongeza mke wa pili ili hali hata huyo mke uliyenaye humtoshelez
 
Ulidhani kuna jipya lolote humo..wezi wenzie watampa shavu tu...utaniambia
 
Wakati Naibu Speaker akimkaribisha waziri wa Nishati na Madini, ametahadharisha kuwa wabunge walioomba kuchangia ni wengi sana hivyo watakaopewa kipaumbele ni wale ambao hawajawahi kuongea kabisa na wale waliowahi kuchangia mara moja tu. Maana yake ni kwamba watu makini kama Tundu, Mbowe, Zitto, Mdee n.k hatutawasikia. labda wangoje kwenye kamati

Huu ndio ule UTATU USIOKUWA MTAKATIFU niliokuwa naulaani (Kiti cha Speaker, Wabunge wa CCM na Serikali). Watasema sana mwisho utasikia naunga mkono hoja asilimia 100

Kwamba hata kama huna hoja ni suala tu la nafasi ya kuongea! Kwamba tumwache na fulani aliyeandaliwa aongee!!
Kikao cha jana usiku kiliweka njama za majambazi kufunika wizi wao.
Kwamba fulani utaongea jambo hili, halafu atafuata fulani, halafu fulani, Mimi (spika) nitawapa muda mwongee na muda utaisha.
Waache hao wakorofi wachangie kwa maandishi na wewe Ngeleja usijibu yaliyoandikwa. Baadaye tutapiga kura siye wengi tutashinda
Tutashinda hao wakorofi wanaotaka kutuharibia ulaji wetu.
Hayo ni maafikiano ya jana.///

Ushauri: Wala msijali. Mwisho wa haya majambazi umekaribia.
Yameiba mpaka yanajiibia.
Yamekula mpaka yamevimbiwa na kutapika ovyo.
Baadaye yataharisha yataishiwa maji mwilini tutayavurusha kama manyoya ya njiwa.
 
Ongezea
8. David Kafulila
9. Kessy (CCM Lindi)
10. John Cheyo
11. Mnyaa

Hapa nilipo nimepiga magoti wabunge hawa wapewe nafasi ya kuchangia see below:

Mh. Aikaeli Mbowe
Tundu Lisu
Halima Mdee
John Myika
Msigwa (Mchungaji)
Godbless Lema
Zuberi Zito Kabwe.

Kama na wewe uko kwenye maombi kama mimi hembu na wewe muweke unayemjua ili Ngeleja leo aone wapinzani wako pale bungeni sio kwakulala bali ni kwa maslahi ya wananchi!
 
CCM chana kinacho tawala Nchi kwa hadaa kikiwa nimejaa uoga mwingi .Wanasema wapinzani hawana points na leo mnawaziba midomo kwa nguvu .Upuuzi huu .Zomba uko wapi ? F Foxy upo ?
 
lema kamanda wetu, tafadhali hesabu na ukigundua wapinzani rasmi bungeni wamenyimwa nafasi ya kumbana ngeleja kwa kuchangia, mtolee uvivu, sisi wenyenchi tunakuruhusu mpe kichapo fasta!!!!! huo pia ni utetezi wa wananchi/ wapigakura, wakitaharuki wanyenchi tunaingia barabarani nchi nzima, tafadhali this is more than serious... a golden chance!!!!!
 
Mimi najionea sawa tu. Mengi yameshasemwa kwenye hotuba ya bajeti yenyewe na ile ya ofisi ya WAZIRI MKUU. Wanarudia yaleyale kwa mikao tofauti, mavazi tofauti na sauti za msisitizo tu. Ninachokiona ni miongozo mingi, kuhusu utaratibu mwingi na kusinzia kwingi.
 
Hapa nilipo nimepiga magoti wabunge hawa wapewe nafasi ya kuchangia see below:
  1. Mh. Aikaeli Mbowe
  2. Tundu Lisu
  3. Halima Mdee
  4. John Myika
  5. Msigwa (Mchungaji)
  6. Godbless Lema
  7. Zuberi Zito Kabwe.
  8. Machemli
  9. Ezekiel Wenje
  10. Higness Kiwia
  11. Mnyaa wa CUF
Kama na wewe uko kwenye maombi kama mimi hembu na wewe muweke unayemjua ili Ngeleja leo aone wapinzani wako pale bungeni sio kwakulala bali ni kwa maslahi ya wananchi!

Hao ndio wasema kweli na kama watachangia wengine basi ujue ni kubebana tu na sijui watakapofika majimboni watawaambia nini wale waliopunguzwa kazi viwandani kutokana na viwanda kufungwa kwa kukosa umeme wa uhakika.

Kwa waonao mbali kama mimi "acha iwe hivyo ili hawa jamaa MAGAMBA wajikamatishe wenyewe kwa yaale CDM inachowashutumu nacho kwamba wako pale kwa maslahi yao na siyo kwa ajili ya wapiga kura wao"
Huu ni ushahidi ambao ni live kwani itadhihirisha kwamba wako vipofu na hivyo hawajui matatizo ya wananchi na hivyo hawawezi kuwa wawakilishi wao; then guess what in 2015
 
Wakati Naibu Speaker akimkaribisha waziri wa Nishati na Madini, ametahadharisha kuwa wabunge walioomba kuchangia ni wengi sana hivyo watakaopewa kipaumbele ni wale ambao hawajawahi kuongea kabisa na wale waliowahi kuchangia mara moja tu. Maana yake ni kwamba watu makini kama Tundu, Mbowe, Zitto, Mdee n.k hatutawasikia. labda wangoje kwenye kamatiHuu ndio ule UTATU USIOKUWA MTAKATIFU niliokuwa naulaani (Kiti cha Speaker, Wabunge wa CCM na Serikali). Watasema sana mwisho utasikia naunga mkono hoja asilimia 100
Huyu naibu speaker amegraduate pale center of management excellence ESAMI mambo anayofanya ni tofauti kabisa na mtu aliyepitia kituo makini kama kile...nilitaarjia awe mfano kuhakikisha serikali inatimiza majukumu yake. Mpake siku tutakapokomboka na viongozi kamlete...watu wa kupewa madaraka tu ndio siku tutakomboka kweli?
 
Ameanza kwa pongezi mbalimbali kama kawaida!
William Ngeleja= Kijana MAZEE ana fikara zilizochoka kuliko wazee wote wa TZ
Wengine ni Hussein Mwinyi, Ali Malima ( wako pamoja ndiyo maana ni utaahira kutegemea utendaji), Nchimbi, etc. Vijana wa magamba ni VIJANA MAZEE. Hawawezi kuwa na afya ya vijana - vijana; Kabwe Zuberi Zitto, Tundu Lissu, John Mnyika, Wenje kwao = YOUTH IS STRENGTH, YOUTH IS VIGOUR
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom