Kibanda,Meena,Balile,Manyerere kumbe ndo wamiliki gazeti Jamhauri!

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Katika toleo la jamhuri la jana ambalo nimelipata leo,kuna makala ndefu ilioandikwa na Balile akitja wakurugenzi wa hilo gazeti kwamba ni 4 hapo hapo juu.

Kwamba yeye balile na manyerere ndiyo wanaolingoza kwa sasa wakati wenzao kibanda na meena wakijipanga kuwaunga mkono wakati wowote!

Kumbuka alikuwa akijibu madai kwamba nyuma ya hili gazeti au lina mkono wa LOWASA.

Soma makala zao utagundua hilo.

Sumaye kumtukana Lowassa unajidhalilisha, JK umenena

cc Manyerere Jackton
 
Last edited by a moderator:
oh.... naimani wakisimama hawatanunuliwa, ila wajiandae kufungiwa kama wasipoisifia sirikali la sisiemu...
 
Walinunuliwa kwanza ndio wakaanzisha hilo gazeti lao. Fani ya uandishi wa habari Tanzania ni kama Toilet Paper....

Kuna gazeti limeniacha hoi limetoa habari ya msigwa na rambirambi based on post ya Tuntemeke wa JF...
 
Watu wengine bana! Yaani unakurupuka kutoka huko ulikokuwa then unaanza kutukana watu; "Fani ya uandishi wa habari Tanzania ni kama Toilet Paper..."!! Ndugu, nakushauri siku nyingine ujipange kabla ya kuandika coz simply makini yako inatia mashaka makubwa. Siyo vyema ukaitukana fani nzima--maanake unawatukana wote walio katika fani hiyo--na hii si busara kabisa kwa mtu makini! Hujasikia madaktari waliompasua mtu kichwa wakati ana matatizo ya miguu na mwingine akahangaika na mguu wakati mgonjwa ana matatizo kichwani? Kwa maana hiyo utaitukana fani nzima ya udaktari na madaktari wote? Tafadhali, next time, tia akili na chunga makini yako!!
 
Tanzania hakuna Waandish wa habari,,, kuna Wajasiriahabari tu...

Kwa mfano likitokea tukia kubwa la kisiasa hapa nchini unakuta kila media house imespin nalo kivyake na kuleta habari kivyake hadi wananchi kwa sasa hatuamini tena magazeti. Uandishi wa habari Tanzania SIO Professional, labda wakiishakuwa professional kama wahasibu na madaktari na wengineo ndio wataacha kutumika kama Toilet Paper
 
Kwa hoja zako hapa jf za kila mara hakika wee Kidogo chetu utakuwa umevurugwa au ni shoga tazama post zako za kila mara hapa jamvini.Badilika

kaombe nawe uwe mkurugenzi basi maana unawasha sana na umbeya kwa mambo ya wenzio

Ukifuatilia coments zako hapa Jf utabaini kwamba wewe Kidogo chetu utakuwa umevurugwa au we ni Shoga! tazama hapa chini
kama inakuuma omba na wewe babako aongezewe basi maana mmejaan
umbe tupu !!!!
wewe mwenye akili kazitumie na mamako kuendelezaa familia yenu
siku mtei akifa tunavunja baraza maalumu la wazee CDM
hivi yule muhudumu kule ofisini mbona hakutoa msaada stahiki kwan kuwaambia kapuya kaathirika ndo ulikuwa msaada wake? wakati anahongwa laki saba mbona hakutafuta msaada km anaoutafuta sasa . inaonekana binti ni malaya mzoefu huyu
bangi zako usilete hapa wenzako wamefiwa wewe unawashwa na uchadema aibu gani hiyo
marehemu amekufa akiwa mwanachama na tena kiongozi wa watu kupitia CCM sasa wewe unatekenywa na ninin?
 
Last edited by a moderator:
Tanzania hakuna Waandish wa habari,,, kuna Wajasiriahabari tu...

Kwa mfano likitokea tukia kubwa la kisiasa hapa nchini unakuta kila media house imespin nalo kivyake na kuleta habari kivyake hadi wananchi kwa sasa hatuamini tena magazeti. Uandishi wa habari Tanzania SIO Professional, labda wakiishakuwa professional kama wahasibu na madaktari na wengineo ndio wataacha kutumika kama Toilet Paper

fani gani tanzania iko sawa? we fani uliyomo ikoje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom