Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,497
15,756
Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?

Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.

Wahusika mjitathmini.

20210514_181021.jpg

IMG-20210514-WA0013.jpg
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali .Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli.?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia. Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
Kaburi la familia ya watu inatuhusu nini sisi? Hebu tuwekee makaburi ya ndugu zako kama angalau hata yana fensi ya mabati,?! Achana na mambo yasiyokuhusu.
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali .Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli.?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia. Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
Hivi kuna ulazima gani kujengea bati?au bado wanagopa mabeberu wanaweza kuja iba lile fuvu la kichwa
 
Back
Top Bottom