Kibamia ni neno linalotumika kuwatisha wanaume ili kuwamaliza nguvu wajione hawawezi kuridhisha mwanamke

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,168
Wanawake wengi wanatumia hili neno kama kinga ili kuwatisha wanaume kuwa hawana uwezo kurishisha mwanamke ili hali sio kweli.

Utakuta mwanamke akigombana na mpenzi wake anamtukana kwanza una kibamia

Unakuta wanawake wanajadili juu ya wanaume na kudai hawapendi vibamia lakini hata wakipata wenye mashine kubwa hawaridhiki.

Wapo wanawake waume dhao wana vibamia lakini wameridhika na ndoa zao. So hili neno ni kama neno linalotumika na malaya ili kupata confidence maana huwa wana mifuko ya Rambo
 
Kuwa na kibamia siyo issue kwa sababu mwanaume mwenye kibamia anaweza kumfikisha mwanamke kileleni ,lakini yule mwenye mashine kubwa anaweza kushindwa, kufanya mapenzi ni sanaa, unatakiwa kujua jinsi ya kumchezea mpenzi wako, sehemu zenye msisimko nk.

Haya wanaume wenye vibamia njooni niwape darasa.
 
Wanawake wengi wanatumia hili neno kama kinga ili kuwatisha wanaume kuwa hawana uwezo kurishisha mwanamke ili hali sio kweli.

Utakuta mwanamke akigombana na mpenzi wake anamtukana kwanza una kibamia

Unakuta wanawake wanajadili juu ya wanaume na kudai hawapendi vibamia lakini hata wakipata wenye mashine kubwa hawaridhiki.

Wapo wanawake waume dhao wana vibamia lakini wameridhika na ndoa zao. So hili neno ni kama neno linalotumika na malaya ili kupata confidence maana huwa wana mifuko ya Rambo
Sema ukiambiwa una kibamia inakata stimu sana...... Sitosahau yule qumer she was like "yaan urefu wote huo......... ndo hako?mseenge yule
 
Ukiona mwanamke anakuambia hivyo ujue ni changudoa aliyeshindikana, ameshapitiwa na wengi hivyo analinganisha
 
Back
Top Bottom