kibamia kidogo

Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,968
1,475
weekend nilikuwa na mazungumzo na dada mmoja ambaye ni rafiki yangu kwakweli amekuwa akinisikitisha jambo moja kila napomuona ana mahusiano mapya sasa mpaka ananichosha ikabidi nimuulize kulikoni maana wewe una mume na watoto wazuri tu kwa nini unafanya ivi akaniambia kibamia cha mr ni kidogo hamridhishi nilishtuka nikaamuuliza huyu mtu hukuanza nae jana au leo ni siku nyingi na kwa hiari yako ukafunga ndoa na watoto mkapata kwakweli hakunipa majibu yanayoeleweka nimekaa na kujiuliza maswali mengi sasa mbona hata huko nje nako anabadili kila siku kulikoni naombeni mchango wenu nduguzi nimsaidie huyu dada angalau kwa mawazo nawaonea zaidi huruma watoto wake ni wadogo sana
 
kibamia si sababu ana matatizo mengne uyo
km pbm ni kibamia angetulia na mmoja uko nje anakoenda kuhanja
ana maruhan uyo
 
Kwanza nianze kwa kusema kwmba huyo dada yako kama ni muislam aende msikitini akaswali na kama ni mkristo aende kanisani akatubu kwa kutoka nje ya ndoa,maana ni dhambi kumwa sana kutoka nje ya ndoa,pili huyo dada yako inabidi aende akakutane na washauri ili aweze kupata ushauri,na bila kufanya hivi kifo kinamnyemelea haraka sana.ni hayo tu":tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
 
weekend nilikuwa na mazungumzo na dada mmoja ambaye ni rafiki yangu kwakweli amekuwa akinisikitisha jambo moja kila napomuona ana mahusiano mapya sasa mpaka ananichosha ikabidi nimuulize kulikoni maana wewe una mume na watoto wazuri tu kwa nini unafanya ivi akaniambia kibamia cha mr ni kidogo hamridhishi nilishtuka nikaamuuliza huyu mtu hukuanza nae jana au leo ni siku nyingi na kwa hiari yako ukafunga ndoa na watoto mkapata kwakweli hakunipa majibu yanayoeleweka nimekaa na kujiuliza maswali mengi sasa mbona hata huko nje nako anabadili kila siku kulikoni naombeni mchango wenu nduguzi nimsaidie huyu dada angalau kwa mawazo nawaonea zaidi huruma watoto wake ni wadogo sana
Huyo anahitaji watu kama Shaquille O'Neal , atakuwa abnormal dowm there na kwa hiyo anahitaji abnormal man too
 
weekend nilikuwa na mazungumzo na dada mmoja ambaye ni rafiki yangu kwakweli amekuwa akinisikitisha jambo moja kila napomuona ana mahusiano mapya sasa mpaka ananichosha ikabidi nimuulize kulikoni maana wewe una mume na watoto wazuri tu kwa nini unafanya ivi akaniambia kibamia cha mr ni kidogo hamridhishi nilishtuka nikaamuuliza huyu mtu hukuanza nae jana au leo ni siku nyingi na kwa hiari yako ukafunga ndoa na watoto mkapata kwakweli hakunipa majibu yanayoeleweka nimekaa na kujiuliza maswali mengi sasa mbona hata huko nje nako anabadili kila siku kulikoni naombeni mchango wenu nduguzi nimsaidie huyu dada angalau kwa mawazo nawaonea zaidi huruma watoto wake ni wadogo sana
Bado hajapata libamia!
 
??????????????????????????????????

okra_22.jpg
 
huyu ni mkristo toka tumboni
Kwanza nianze kwa kusema kwmba huyo dada yako kama ni muislam aende msikitini akaswali na kama ni mkristo aende kanisani akatubu kwa kutoka nje ya ndoa,maana ni dhambi kumwa sana kutoka nje ya ndoa,pili huyo dada yako inabidi aende akakutane na washauri ili aweze kupata ushauri,na bila kufanya hivi kifo kinamnyemelea haraka sana.ni hayo tu":tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
 
Mmekosa kazi au mnajipooza na matokeo ya uchaguzi?

mh mwenzetu kazi zipi tena izo hapa tunajaribu kuangalia basi muskabali wa watoto maana mama ana umuhimu mkubwa sana kwenye malezi ya watoto
 
sawa anaweza kuwa na pepo wa ngono au isiwe ushauri wenu please maana hata ya kumwambia sina tena nategemea ushauri wenu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom