kibamia kidogo

weekend nilikuwa na mazungumzo na dada mmoja ambaye ni rafiki yangu kwakweli amekuwa akinisikitisha jambo moja kila napomuona ana mahusiano mapya sasa mpaka ananichosha ikabidi nimuulize kulikoni maana wewe una mume na watoto wazuri tu kwa nini unafanya ivi akaniambia kibamia cha mr ni kidogo hamridhishi nilishtuka nikaamuuliza huyu mtu hukuanza nae jana au leo ni siku nyingi na kwa hiari yako ukafunga ndoa na watoto mkapata kwakweli hakunipa majibu yanayoeleweka nimekaa na kujiuliza maswali mengi sasa mbona hata huko nje nako anabadili kila siku kulikoni naombeni mchango wenu nduguzi nimsaidie huyu dada angalau kwa mawazo nawaonea zaidi huruma watoto wake ni wadogo sana

kama kibamia ni kidogo basi ni vice versa mashine ya dada ni kubwa hivyo ngoma droo na bwana akatafute kitu TAIT NIMEMALIZAAAA
 
kama kibamia ni kidogo basi ni vice versa mashine ya dada ni kubwa hivyo ngoma droo na bwana akatafute kitu TAIT NIMEMALIZAAAA

Khe! wewe Kaka/dada ndiyo nini kutuwekea avatar za namna hiyo jamani??
 
mashine yake inaweza kuwa kubwa eeh khe :tape: hapa hata ushauri sitoi tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom