Kibamba: Siyo elimu bure, bali ni elimu kwa kodi zetu

TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,673
1,571
mwenyekiti wa jukwaa la katiba nchini ndugu Deus Kibamba, amekosoa wanaodai kwamba serikali inatoa elimu bure na kusema kinachofanyika ni serikali kutoa elimu kwa kodi zetu. ameyasema hayo alipokuwa katika mazungumzo na kituo cha television cha Azam Two.
 
Back
Top Bottom