Kibali kilitolewa bila mkwaruzo wowote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibali kilitolewa bila mkwaruzo wowote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ole, Jan 30, 2011.

 1. Ole

  Ole JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 16, 2006
  Messages: 751
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Some of the Chinese national residing in Tanzania carry a paper dragon and dance up and down the Mnazi Mmoja Garden in Dar es salaam on Saturday.The event is part of festivities to mark the Chinese New Year. Business and trade exhibitions, martial arts, acrobatics, kite flying and a number of other entertainment coloured the day well into the night.. (Photo by Muhidin Issa Michuzi)


  Wageni ndio wanaopewa kipaumbele kwa jambo lolote wanalotaka kufanya na kibali cha polisi sio swala la kukuna kichwa. Where do we go? Je wachina wameacha zile biashara zinazoweza kufanywa na wabongo? Naona kama ule muda walipewa unakaribia kwisha au waziri amefyata mkia?​
   
 2. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wamepewa kibali bila mkwaruzo koz wao hawaikosoi, hawaipingi wala hawaishauri kitu serikali iliyo madarakani.....so hata kama kuna chama au kikundi cha watu fulani kinataka kufanya vitu ambavyo haviigusi Serikali kwa namna yoyote ile KIBALI kitatolewa bila Mkwaruzo hata kama hawatakuwa Wageni...

  serikali yetu haipendi kuambiwa chochote, si kukosolewa au kushauriwa ikiwa ni moja kati ya Hilo Kibali no na ndo hapo utakapoona Intelijensia inavyofanya kazi.....CHUKUA HATUA
   
 3. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Naibu kawa overruled na bosi wake ndo maana kafyata mkia!!!
   
 4. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  I don't think there is anything wrong with this because their march is to celebrate their faith, and elsewhere in the world it happens,

  Kibali walichotaka CDM na dhumuni ni tofauti na hichi,
  walichopewa wachina

  Ili tucompee ( compair ) apples with apples ingependeza kama ungematch na any other political party
   
Loading...