Kibaki to clerics: You are free to criticise us | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibaki to clerics: You are free to criticise us

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by MaxShimba, Jun 28, 2009.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kibaki to clerics: You are free to criticise us

  By SUNDAY NATION CorrespondentPosted Saturday, June 27 2009 at 20:02

  President Mwai Kibaki has invited religious leaders to point out mistakes in government.


  He said the Church should not shy away from issues of governance and its leaders were free to engage the State in constructive dialogue.


  “Religious leaders, no matter their denomination, are free to work with the government in helping improve the lives of our people. You should not hesitate to tell us where we go wrong,” he said.


  In the recent past, there have been sharp differences between religious leaders and the government over various issues particularly the constitution making process.


  President Kibaki was speaking in Murang’a during the ordination and installation of the third diocesan bishop James Wainaina Kung’u. He was accompanied by Prime Minister Raila Odinga and five MPs.


  Mr Odinga echoed the President’s sentiments and said religion should go hand in hand with the political establishment in addressing problems facing the citizenry.


  “If we follow the doctrine of love as taught by the church, then we can minimise cases of bloodshed as witnessed during the post-election violence,” he said.
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Tatizo viongozi nao hawaaminiki. Hapo mbele za watu wanaweza kusema hivyo lakini wakitoka hapo hali inakua tofauti. Na swala siyo kukosolewa tu. Swala ni je watafanyia kazi kasoro za uongozi wao au serikali yao pale wanapo kosolewa? Isije ikawa tu viongozi wa dini wanaongea lakini maneno yanaingia sikio moja na kutokea lingine.
   
 3. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Afadhali hawa wamesema wazi (ingawaje uenda watekeleze) dini ina mchango wake katika kuendesha nchi na kuwataka kuwakosoa ikibidi kuliko hawa viongozi wetu hapa wanaong'ang'ania kuwaambia watu wa dini wasiikosoe serikali kwani kufanya hivyo ni kuchanganya dini na siasa.

  Tiba
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Tiba,

  Tatizo viongozi wengi na haswa wa Afrika they pay a lot of lip service. Yani manno yao ya majukwaani ni tofauti na matendo yao. Hapo wamesema hivyo lakini cha kusubiria ni kuona je kweli watakubali kukosolewa? Je watafanyia kazi hizo kasoro? Otherwise bado I'm not yet convinced with their sincerity. Ingekua maneno ya jukwaani tu ni ishara ya matendo ya viongozi mbona leo tungekua na "Maisha bora kwa kila Mtanzania".
   
 5. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mkuu MwanaFalsafa,

  Umesema kweli. kusema na kutekeleza ni vitu viwili tofauti lakini angalau wametoa uhuru hadharani kwa viongozi wa dini wawakosoe. Hapa kwetu kiongozi wa dini akikosoa, ataambiwa anachang'anya dini na siasa. Lakini hao wasio chang'anya dini na siasa wakiingia madarakani wanaapishwa kwa kushika biblia au msahafu.

  Maisha bora kwa kila Mtanzania yatakuja soon tunapashwa tumuongezee JK miaka mingine mitano ili aweze kutekeleza ahadi zake kwani tayari ameishafanya ground work for the 4 years he has been in power kilichobaki ni implementation!!!!!!!???????

  Tiba
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Viongozi wa dini kukosoa ni concept nzuri sana. In fact naona ikitumiwa the right way in manufaa sana kwa nchi. Tukubali au tukatae dini ina play a big role katika maisha yetu. Kama ulivyo sema viongozi huapishwa na vitabu vya dini ila pia utakuta wengi wetu bila ata kujijua dini zetu zina influence maamuzi yetu na matendo yetu. Ni tuombe Mungu viongozi wa dini wasiwe na upendeleo yani wawe unbiased.

  Kuhusu JK nabidi nipingane na wewe. Ukweli unabaki pale pale kuwa JK katoa ahadi nyingi ambazo sasa anaona inamuwia ngumu kutekeleza. Katiba ya nchi inasema kiongozi anapewa term ya miaka mitano. Kwa hiyo ahadi alizotoa ni za miaka mitano. Ndiyo maana chama kikatoa ilani ya 2005-2010 na siyo 2005-2015. Je mpaka sasa katimiza nini kwenye ilani ya chama chake? Hilo ndilo swali Watanzania tunabidi tujiulize. That's how to judge performance ya raisi.
   
 7. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mkuu MwanaFalsafa,

  Ungeangalia kwa makini alama nilizoziweka mwisho wa sentensi yangu ya mwisho, ungejua tuko wote kuhusu ahadi za JK na utekelezaji wake.

  Tiba
   
 8. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  this is just lip service.
  any one remember what happened to Aleaxander K. Muge a kenyan Bishop...a grissly road accident...They tell you its's ok lakini if you criticize umejichimbia kaburi.

  It is not wise to believe what these Fisadi Govers tell you!! Maneno matupu.
   
  Last edited by a moderator: Jun 29, 2009
Loading...