Kibaki/Odinga wampiku KIkwete kupambana na ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibaki/Odinga wampiku KIkwete kupambana na ufisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Informer, Jan 4, 2011.

 1. T

  The Informer Senior Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati Hoseah anaogopa vigogo, TAKUKURU ya Kenya yaburuza mawaziri kortini

  Hapa Tanzania, mawaziri wa Kikwete wanalazimishwa kwa mbinde kujiuzulu kwa tuhuma za ufisadi (eg Edward Lowassa, Andrew Chenge, Nazir Karamagi), lakini TAKUKURU kamwe haiwafikishi mahakamani kwa vile mkuu wake, Edward Hoseah, anaogopa mafisadi wanalindwa na Ikulu.

  Tazameni mfano wa nchi jirani ya Kenya:

   
Loading...