Kibaki Na Raila Vita Tuu Sasa!

Mzalendo halisi,
Heshima yako mkuu,
Yaani kweli wewe ndio unatoa maono kwamab Raila amuachie Kibaki?
Kivipi mkuu wangu?Hilo haliwezekani.Kibaki hana point ya kucomvince wakenya kwamab ni kwa nini wanchague for the second term.Lakini tukienda na point yako ya sisi kuwaachia tu viongozi waongo waendelee na mafisadi itakua ni kuendelea kuturudisha waafrika nyuma

Tabia aliyoionyesha Kibaki na Ukora uliokithiri unastahili kupingwa kwa nguvu zote na wananchi wa Kenya ili Taifa hilo liendelee.Na itakua mfano kwa viongozi wengine Afrika wasio na Discipline

Kazi ndio inaanza,Raila Tosha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom