Kibaki na JK mamtoni..

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
JK na kibaki walipata mualiko kwenda ulaya.walipofika ugenini waliandaliwa karamu ya kukata na shoka.mezani kulikuwa na vijiko vya dhahabu na wote wawili walikuwa na mpango wa kupita na kimoja ila hakuna aliemwambia mwenziwe.wakati wamemaliza kula ikawa tym ya maombi na katika kuomba ilibidi wafunge macho.JK kwa ujanja akajifanya amefunga macho kumbe wapi.ndipo akamuona kibaki akichukua kijiko na kukificha ndani ya koti.baada ya maombi JK aliwaambia wote waliokuwemo kuwa anataka kufanya magic show.akapewa ruhusa.hapo akasema mnaona hiki kijiko.ni takiingiza ndani ya koti langu na kitatokezea kwa koti la kibaki.wenyeji wakasema haiwezekani.hapo JK akachukua kijiko na kukitia ndani ya koti na akaelekea kwa kibaki na kutoa kile alichokificha.watu wote wakampigia makofi na kumpatia dollar mia mia kila mmoja.kijiko akatoka nacho kiulaini.
 
Hiyo kali maana hizo dhahabu zenyewe zimetoka Bongo...................
 
Kwa mheshimiwa si ajabu coz anawauzia mwenyewe alafa anaenda kuiba portion!
What is the hell about?..................................................
 
if he would hav such a big brain, nchi isingemshinda,,, mimi nadhani aliyetakiwa kufanya hiyo magic ni kibaki, jk angekua na akili ya kuiba wakati wa sala tu,,,
 
Jk angekuwa kwenye nafac ya kuiba tena msosi kwani naona hata
thaman ya dhahabu haijui
 
Mmmmmh nimeona watu wamepigwa ban kwa kumkashifu JK sasa hii nadhani sio kashfa bali ni sifa. Pls Mods usimpige BAN
 
Duh! kaka hiyo nimeikubali ileile yani.So JK ni bonge la mjanaja coz ametumia maarifa aidi kupata kijiko na maawadi mengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom