Kibaki akataza Mawaziri wake kusafiri nje ya nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibaki akataza Mawaziri wake kusafiri nje ya nchi

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by MaxShimba, Mar 8, 2010.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Written By:Irene Muchuma/Margaret Kalekye
  Mon, Mar 08, 2010


  President Mwai Kibaki has banned Cabinet Ministers and their Assistants from traveling abroad until debate on the new constitution is over.
  [​IMG]
  President Kibaki said the government is keen to ensure that the country gets a new constitution as per the laid down schedule.

  The directive was communicated by the Head of Civil Service and Secretary to the Cabinet Francis Muthaura through government spokesman Alfred Mutua.

  "The Government is keen to ensure that the country gets a new constitution as per the set schedule" read a circular dated last Friday and released by the Government on Monday.

  The move is aimed at ensuring ministers attended House sessions.
  Parliament has powers to make amendments on the revised draft and MPs have 30 days to debate it after which it would be published and subjected to a national referendum.

  Any amendment to the proposed Constitution requires a two thirds majority.
  And in an effort to fight graft ,the President also directed all government offices to amend to open plan spaces and workstations with an exception of officers on Job group S and above.

  He further reiterated his directive banning all public offices from purchasing furniture abroad.

  In the circular, Kibaki said " public officials are encouraged to buy high quality furniture and other locally made items, directly from Jua Kali artisans, manufacturers and shops and to avoid using middlemen who inflate the cost of the items.

  He warned procurement officers who undertake purchases that rip off the Government and tax payers' money that they will be held accountable.

  The government has pumped half a billion shillings into the local economy with an aim of boosting the country's local manufacturers.

  Dr Mutua said the directives take effect immediately.
  Source-kbc
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wakenya kwa mambo, hawajambo.

  Sasa Waziri asafiri nje ya nchi bila ya Serikali kujuwa anakwenda kufanya nini?

  Haya tusubiri Ustaadh Odinga aje kuvunja amri ya Rais.
   
 3. bona

  bona JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,794
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  ina maana wanachofataga kinakuwa hakina muhim ila wanajiamuliaga tu?
   
 4. N

  Nanu JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  wangesema kuwa wanapunguza kwenda safari za nje ili kupunguza matumizi yasiyokuwa ya lazima kwa pesa za walipa kodi wa Kenya. Ni hatua nzuri kama itasimamiwa vizuri kwani yawezekana labda kuna watu wanalengwa kwa makusudi fulani!!!
   
 5. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  In the circular, Kibaki said " public officials are encouraged to buy high quality furniture and other locally made items, directly from Jua Kali artisans, manufacturers and shops and to avoid using middlemen who inflate the cost of the items.

  He warned procurement officers who undertake purchases that rip off the Government and tax payers' money that they will be held accountable.


  The government has pumped half a billion shillings into the local economy with an aim of boosting the country's local manufacturers.

  Hii nimeipendaa kwani ni move nzuri ya kuempower local industry economically..Sisi vipi furniture za kutoka China, Dubai, Europe hatuwezi kununua pale Keko kuwawezeshaaa???
   
 6. B

  Bobby JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,798
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Mimi nimepapenda hapa kwa kweli. Huyu mzee ana shida zake nyingi tu lakini kuna maeneo anaperfom vizuri sana. Walianza na magari wamefika mpaka kwenye furnitures this is really good kwa kweli. Hapa kwetu tumelala usingizi wa pono. Sijuwi kama mmenotice maofisi ya serikali karibu yote sasa hivi wanashindana kununua furniture za kichina ambazo ni fake tu. Yaani miti yote hii jamani ya mbao bado tutegemee furniture za kichina? Kwanini tusiwawezeshe vijana wetu kwa nyenzo ili waweze kuimprove quality ya furniture zao then tukanunua hapa hapa? Haya mashangingi ndio usiseme, juzi kwenye tatizo la Toyota wakataja idadi ya mashangingi ya serikali nusura nianguke kwa presha. Jamani kumbe yako zaidi ya 10,000. Nikajiuliza hivi yakiuzwa hata 100 tu wale wananchi wa Kilosa wataendelea kuishi madarasani huku watoto wakishindwa kusoma? Hivi tulijikwaa wapi masikini?
   
 7. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na hapa kwetu hiloo ni jambo dogo sana kutekelezeka kwani hatuhitaji hata utafiti kujua kwamba uwezo wa uzalishaji/utengenezaji furnituree unajitoshelezaaa...

  TUANZE NA BUNGE LETU KUKALIAA MABENCHI YA KAWAIDA TUU TENA HAWATASINZIAA KAMA ILIVYOO SASA!!!

  OFISI ZA SERIKALI NI UCHAFUU MTUPU HIZOO FENICHA TOKA CHINA KILA BAJETI ZINABALISHWAAA!!!!

  NATUMAI WANAHARAKATI NA WANANCHI NA WABUNGE KWA UJUMLA TUKILIPA KIPAUMBELE KWA MIJADALA YA EPA ITAWEZEKANA.....
   
 8. n

  nndondo JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndio tofauti ya Rais aliyeingia madarakani kutawala na aliyeingizwa bila kujua anataka nini sasa kagombana na waliomuweka kabla hawajampa terms of reference. Hebu subirini muone leo atakavyolikoroga la TRL. Sasa huyo ambae anapangiwa wapi kwa kwenda na kina Januari Makamba watoto wa jana, ili kuwapa tenda? ona hata hiyo zinduka ya malaria ilivyokua uchafu, kapelekwa snow crest Arusha ona yaliyomkuta na wala hana wasiwasi. Ndio maana pamoja na yote natamani Lowassa angeacha angechukua fomu agombee, tuondokane na huu upuuzi, tunayangoja kwa hamu maandamano ya kina mama Ananilea, labda ndio yatakayotubadilishia upepo, tunahitaji Rais mwenye kuweza kuongoza jamani huyu ambaye yeye mwenyewe anaongozwa na vipofu? hayo ya kina kibaki hayawezi yeye mwenyewe alichofanya cha kwanza ni kununua ma BMW wakati hata rais we nchi zinakotoka hizo BMW anatumia Benz, hajui wenzie wa benz walishafanyiwa uchunguzi wa miaka na ku improve ubora wao na kupasishwa kuwa magari ya kubeba viongozi wa juu, yeye ameshauriwa na hivyo vitoto kwamba ndio fashion. Kasi mpya, nguvu mpya, ari mpya hiyo, imeisha kabla ya kuanza, aibu aibu aibu!
   
 9. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  I'm still a doubting Thomas...But if this directive is to be believed I say Good Call Kibaki!! About time those Ministers and MP's earned their very high salaries.
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,418
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Mh.. sijui huko nyumbani mkuu wetu anao uwezo wa kuwazuia hata kuwakemea mawaziri wanaochemka kazini? Huyu babu pamoja na kuwa wakati mwingine anachemka lakini hawaonei aibu wanaochemka. Kwa hili nadhani amefanya jambo la maana manake wengine wanapenda kukimbia wakati wa bunge ili wasiulizwe maswali. Tunapaswa kujifunza mifano mizuri kwa ajili ya nchi yetu pia!
   
 11. N

  Ngala Senior Member

  #11
  Mar 11, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni maamuzi mazito yanahitaji ujasiri lakini NOOO Nadhani ni ushauri wa mkewe maana ni chuma cha pua
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...