kibajaj kama gari

Fuqin

JF-Expert Member
Dec 2, 2018
293
596
habarini woote!! kuna kagari fulaani hv kimeingia bongo kinaitwa 'bajaj Qute' nafkiri kina engine kama ya bajaj nimekipenda kinafaa kwa sisi wabahili wa wese... sasa anayejua bei yake atuambie kwa faida ya wote na pia ambaye kashawahi kukipanda atupe ujuzi wake kina radha gani?? ni hayo tuu
 
'bajaj Qute' nafkiri kina engine kama ya bajaj
1544454741975.png


1544454780498.png
 
Back
Top Bottom