Kibaha: Malalamiko dhidi ya walimu wa Gift skillful secondary school

Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
4,768
2,000
Kwanini usifikishe haya malalamiko kwenye uongozi wa shule?

Huoni kama hapo ndo utakuwa unatatua tatizo?

Maana sidhani kama hapa kuna wahusika.
 

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
4,297
2,000
Mkuu polee kwa changamoto uliyo kutana nayo, lkn pia sio vyemaaaa ku expose jina la mshukiwa moja kwa moja

Alafu kuna vyombo stahiki ambavyo vina shughulikia kero kama izi, kwanza ungefika shule ukaonana na mwalimu mkuu, then ungefika kwa afisa elimu sekondari wa wilaya haapo sasa ungekuwa umeweza ku deal na tatizo kiutawalaaa na kiprotoko

Sio sahihi kuja kulalamika humu JF kwa kesi kama hii siriasi kabisaa kama mtoto kaumizwa nenda ata polisi pale ktk madawati ya jamii watakusaidia vizuri kisheria
 

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
18,391
2,000
Wazazi mda mwingine ni uzembe umezidi. Yani kamwalimu kamoja ndio kawasumbue wazazi mamia kwa mamia? Acheni mambo ya kiwaki. Nendeni hapo shuleni mumtandike viboko huyo mwalimu wa nidhamu asiekuwa na nidhamu.
 

Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
387
1,000
Jamii forum ilianza kuingia vijana vijana flani walioleta ujana ujana humu. Sasa naona wanaanza hawa njuka wa form one kuingia humu baada ya kusimamishwa masomo kutuandikia hisia zao.
 

Gervas Josiah

Member
Nov 4, 2021
6
20
Private halafu kuna ujinga huo?😎
Sitalipa pesa yangu mwangu akanyanyaswe mimi!
Wazazi wenye watoto kwenye hiyo shule wapoje wapoje kwani??
Ni kushikwa masikio na walimu kwa maneno ya porojo. Unaweza nipatia mawasiliano ya ngazi za juu niwasilishe hili
 

Munambefu

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
1,975
2,000
Walimu wa Kibaha shule za private ni wapumbavu Sana.Wanafanya kazi masaa 24 na wanagombania vipindi hadi usiku na weekend.Wengine wanatomba wanafunzi halafu wakuu wa shule ndo wanaina wanabidii kazini.Kuna shule nyingine hivi walimu wawili Kuna concrete evidence wanatomba watoto wa kidato cha nne.Walimu waliokabidhiwa kuwalinda watoto halafu wanna walala.Ujinga mkubwa huu.
Hayo ndio maslahi pekee ya mwalimu kwa sasa
Kama wazazi tumeshindwa kuwadhibiti watoto wetu tunategemea mwl ndio awalinde?
 

BONTABOY

Member
Nov 20, 2015
58
125
Walimu wa Kibaha shule za private ni wapumbavu Sana.Wanafanya kazi masaa 24 na wanagombania vipindi hadi usiku na weekend.Wengine wanatomba wanafunzi halafu wakuu wa shule ndo wanaina wanabidii kazini.Kuna shule nyingine hivi walimu wawili Kuna concrete evidence wanatomba watoto wa kidato cha nne.Walimu waliokabidhiwa kuwalinda watoto halafu wanna walala.Ujinga mkubwa huu.
kuwa na akiba ya maneno
 

Ncherry1

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
2,123
2,000
ukisoma uzi wake anadai mwenye shule anambeba Mwalimu,
ila Walimu (watanisamehe kwa hili) huwa ni watu wapumbavu sana asilimia kubwa
Ushatukana watu afu unasema wakusamehe pumbavu ww na watoto wako wote ambao kesho utawapeleka kwa hao wapumbavu mjinga m1 ww unaetukana kazi ya watu kisa wamekataa kufanya vile unavyotaka swine mxuuuuuuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom