Elections 2010 kibaha kwalipuka! wamechakachua

Msongoru

JF-Expert Member
Apr 16, 2008
306
24
baada ya kubana kwa muda mrefu, wametangaza ccm 14,000 na chadema 10,200. mabomu kwa kwenda mbele, vijana wanadai haki yao!
 
tangu saa 7 mchana waliahidi kutangaza, wametangaza saa hz. vijana wote wamepiga kelele hadi msomaji akakatisha matokeo ya urais. ila kuna kila ukweli kwamba matokeo yamechakachuliwa!
 
:israel:Mpaka kieleweke hapo Kibaha msilale. Kibaha imekuwa wilaya isiyo na maendeleo hata kidogo. Chukueni hatua kwa kwenda mbele.:israel:
 
baada ya kubana kwa muda mrefu, wametangaza ccm 14,000 na chadema 10,200. mabomu kwa kwenda mbele, vijana wanadai haki yao!

Chukueni mifano kwa wenzenu wa mikoani mpaka kieleweka, msikunbali kama mgombea wenu hakutendewa haki ..................:A S angry:
 
The idiocy of people.

Umekaa kwenye internet, hujawahi hata kufika kibaha mjini. Hujui hata siasa za pale zikoje. Halafu unapata audacity ya kuandika bila hiyana "ila kuna kila ukweli kwamba matokeo yamechakachuliwa".

Yaani mkishinda, basi ya ukweli. Mkishindwa mmeibiwa. Where do you guys this entitlement of wining everything? Sasa demokrasia gani hiyo? Mkipewa dola mtaiachia kweli?
 
baada ya kubana kwa muda mrefu, wametangaza ccm 14,000 na chadema 10,200. mabomu kwa kwenda mbele, vijana wanadai haki yao!

Random computer generated figures.......kweli kuna kila sababu kulipuke!
 
Suala hililiende mahakamani na kura zitarudiwa kuhesabiwa na matokeo yatatatenguliwa na uchaguzi kurudiwa......siyo suala la kulikalia kimya hata kidogo.............
 
The idiocy of people.

Umekaa kwenye internet, hujawahi hata kufika kibaha mjini. Hujui hata siasa za pale zikoje. Halafu unapata audacity ya kuandika bila hiyana "ila kuna kila ukweli kwamba matokeo yamechakachuliwa".

Yaani mkishinda, basi ya ukweli. Mkishindwa mmeibiwa. Where do you guys this entitlement of wining everything? Sasa demokrasia gani hiyo? Mkipewa dola mtaiachia kweli?

Tuwaachie mafisadi,....aah! wapi, tukikamata ndio ntolee hiyo...mafisadi bye bye!
 
selemani njoo kibaha ujionee maana ya kuibiwa na utajua hasira yake. We imagine kama CCM ingekubali kuibiwa hata kura moja hali ingekuwaje?? kwa nini viongozi waje kuingilia NEC? Nakusihi selemani njoo ufanye utafiti usio rasmi uone uchakachuaji ulivyo, tujiulize mbona wapinzani hawafanyi fujo huko tabora au kwa magufuli? unafikiri watu ni wajinga wanafanya vurugu tuuu? they know kila kituo wamepataje na wanajua total ni ipi.
 
Wala tusiwe na wasiwasi, mahakama zipo na watu wanadata zote, wataumbuliwa tu.
 
Back
Top Bottom