kibaha kwalipuka! wamechakachua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kibaha kwalipuka! wamechakachua

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Msongoru, Nov 1, 2010.

 1. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  baada ya kubana kwa muda mrefu, wametangaza ccm 14,000 na chadema 10,200. mabomu kwa kwenda mbele, vijana wanadai haki yao!
   
 2. K

  King kingo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kazi ipo kama ni kweli
   
 3. J

  Jonas justin Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapa hakieleweki lazima hakizetu zipatikane!
   
 4. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  C mkoa wa MKWERE. Kumbe hata nyumbani hakubaliki!
   
 5. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nabii hakubaliki nyumbani kwao.
   
 6. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  tangu saa 7 mchana waliahidi kutangaza, wametangaza saa hz. vijana wote wamepiga kelele hadi msomaji akakatisha matokeo ya urais. ila kuna kila ukweli kwamba matokeo yamechakachuliwa!
   
 7. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :israel:Mpaka kieleweke hapo Kibaha msilale. Kibaha imekuwa wilaya isiyo na maendeleo hata kidogo. Chukueni hatua kwa kwenda mbele.:israel:
   
 8. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Atakubalika vipi wakati ni jambazi!
   
 9. R

  Richy.Wambux New Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM are Doing Injustice...What Is the Point of Voting halafu Wanafanya Mambo ya Kipuuzi kama Haya...??
   
 10. c

  chanai JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo injustice zitatumaliza Tanzania
   
 11. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  kikwete kwa wale wasiomjua kaanza kujifunua rangi zake za kweli
   
 12. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chukueni mifano kwa wenzenu wa mikoani mpaka kieleweka, msikunbali kama mgombea wenu hakutendewa haki ..................:A S angry:
   
 13. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  unabii wa kikwete uko wapi? si bora ungesema mtukutu hakubaliki kwao
   
 14. S

  Selemani JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  The idiocy of people.

  Umekaa kwenye internet, hujawahi hata kufika kibaha mjini. Hujui hata siasa za pale zikoje. Halafu unapata audacity ya kuandika bila hiyana "ila kuna kila ukweli kwamba matokeo yamechakachuliwa".

  Yaani mkishinda, basi ya ukweli. Mkishindwa mmeibiwa. Where do you guys this entitlement of wining everything? Sasa demokrasia gani hiyo? Mkipewa dola mtaiachia kweli?
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!wameshachakachua!!
   
 16. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Random computer generated figures.......kweli kuna kila sababu kulipuke!
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  Suala hililiende mahakamani na kura zitarudiwa kuhesabiwa na matokeo yatatatenguliwa na uchaguzi kurudiwa......siyo suala la kulikalia kimya hata kidogo.............
   
 18. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Tuwaachie mafisadi,....aah! wapi, tukikamata ndio ntolee hiyo...mafisadi bye bye!
   
 19. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  selemani njoo kibaha ujionee maana ya kuibiwa na utajua hasira yake. We imagine kama CCM ingekubali kuibiwa hata kura moja hali ingekuwaje?? kwa nini viongozi waje kuingilia NEC? Nakusihi selemani njoo ufanye utafiti usio rasmi uone uchakachuaji ulivyo, tujiulize mbona wapinzani hawafanyi fujo huko tabora au kwa magufuli? unafikiri watu ni wajinga wanafanya vurugu tuuu? they know kila kituo wamepataje na wanajua total ni ipi.
   
 20. C

  Chesty JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 2,350
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Wala tusiwe na wasiwasi, mahakama zipo na watu wanadata zote, wataumbuliwa tu.
   
Loading...