Kibaha: Jogging ya BAWACHA yapigwa stop na Polisi

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limewazuia wanawake wa Chadema kufanya mazoezi ya kukimbia wakiyahusianisha na maandamano
😂

Tunaelekea wapi? Bawacha wanaweza kuwa agenda ya kiusalama kupitia mchakamchaka? Kwamba watu wanakaa vikao wanatoka na haya maazimio au ocd anajifanyia kwa utashi wake?
 
Ndiyo kazi pekee polisi wa Tanzania wana weza. Wakikutana na Kibatala wana omba maji ya kunywa na kwenda haja ndogo
 
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limewazuia wanawake wa Chadema kufanya mazoezi ya kukimbia wakiyahusianisha na maandamano

Tunaelekea wapi? Bawacha wanaweza kuwa agenda ya kiusalama kupitia mchakamchaka? Kwamba watu wanakaa vikao wanatoka na haya maazimio au ocd anajifanyia kwa utashi wake?
hawakawii kutembea na vilipuzi.
 
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limewazuia wanawake wa Chadema kufanya mazoezi ya kukimbia wakiyahusianisha na maandamano
😂

Tunaelekea wapi? Bawacha wanaweza kuwa agenda ya kiusalama kupitia mchakamchaka? Kwamba watu wanakaa vikao wanatoka na haya maazimio au ocd anajifanyia kwa utashi wake?
Piga mkwala tu hao. Kwenye mfumo wetu upinzani wanatakiwa kutoa mchango endelevu kwa nchi sio kupinga kila kitu uzushi na kutukana ovyo.
 
Nenda kaandamane basi ukawasaidie. Tangu mmeanza kulialia kila siku mitandaoni ni kitu gani mmefanikiw.
Wamefanikiwa kuudhihirishia ulimwengu jinsi jeshi la polisi lilivyo dhaifu kwa ku deal na petty issues wakati majukumu yao ya msingi hawayafanyi.
 
Ni BAWACHA si BAVICHA, Polisi na mbwembwe zote zile za kurukaruka huku wakiimba na bunduki zao mikononi wanawaogopa wadada halafu wewe unawaunga mkono!
Nioneshe comment yangu nawaunga mkono au nioneshe comment yangu siwaungi mkono
 
Wamefanikiwa kuudhihirishia ulimwengu jinsi jeshi la polisi lilivyo dhaifu kwa ku deal na petty issues wakati majukumu yao ya msingi hawayafanyi.
eeeh mkuu tunawajua vizuri bawacha kwahio kipigo chao kipo karibuni, vp hujaungana nao?
 
Polisi wako kazini na wanalipwa. Ninyi mko wapi ??
Hao unaosema wapo kazini wanalipwa na sisi japo kazi wanayoifanya ni kinyume na tuliyowapa....kwa ufupi ni kuwa tabaka la wajinga linafanya ujinga kwa sababu wapo wajinga wanaonufaika na huo ujinga.
 
Unachekesha kweli na maelezo yako mchwaro,lini BAVICHA wakawa na akili timamu zaidi wanatumikishwa km maroboti ,tena mi nilitamani sana hiyo miguuu wangetenguliwa

sent from HUAWEI
 
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limewazuia wanawake wa Chadema kufanya mazoezi ya kukimbia wakiyahusianisha na maandamano
😂

Tunaelekea wapi? Bawacha wanaweza kuwa agenda ya kiusalama kupitia mchakamchaka? Kwamba watu wanakaa vikao wanatoka na haya maazimio au ocd anajifanyia kwa utashi wake?
Nilishalisemea hili na Uzi niliweka humu kwamba sasahivi ccm wamekuja na mbinu ya kukusanya vijana na kujidai wanafanya mazoezi kuzuia korona nikasema Jambo hilihili wakifanya chadema watazuiwa Sasa yametimia. Halafu uniiambie niwapende hao mbwa polisi.
 
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limewazuia wanawake wa Chadema kufanya mazoezi ya kukimbia wakiyahusianisha na maandamano

Tunaelekea wapi? Bawacha wanaweza kuwa agenda ya kiusalama kupitia mchakamchaka? Kwamba watu wanakaa vikao wanatoka na haya maazimio au ocd anajifanyia kwa utashi wake?
Bawacha ndio taasisi gani wapigwe marufuku

USSR
 
Back
Top Bottom