kibaha inatisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kibaha inatisha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kamongo, Jan 15, 2011.

 1. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana jamii naombeni ufafanuzi juu ya sheria,kwani kuna kanisa la kilokole limejengwa katikati ya makazi ya watu maeneo ya mabibo makuburi,ifikapo siku za ijumaa kuanzia saa nne usiku wamekuwa wakipiga mziki kwa sauti kubwa,je kuna sheria inaruhusu kupìga mziki kwa sauti kubwa?imekuwa kero kwa majirani,
   
 2. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuna sheria imeruhusu adhana saa 9 za usiku?
   
 3. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kweli sijui, mimi pamoja ni mkristo ni kero kwa mjirani
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sheria ipi inaruhusu mango garden,lango la jiji na Amana kutwanga mziki hata usiku wa manane?
   
 5. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ndio maana nimeuliza
   
 6. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hakuna sheria hapo Tz.
  Ukitaka kujua kama hakuna sheria ona mambo yanavyopelekwa pelekwa.
  Labda itokee kiongozi fulani aseme kwa kutumia madaraka yake. Hiyo ndio sheria huko.
   
Loading...