Kibaha councillors deny district director posh car

Freetown

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
883
73
2008-05-01 11:01:23
By Margaret Malisa, PST, Kibaha


There was a dramatic twist to the full meeting of the Kibaha District Council in Coast Region yesterday when delegates unanimously shot down a draft budget for the purchase of a posh vehicle for the council`s director.

Much to the surprise of prominent guests at the meeting, including Kibaha District Commissioner Gilbert Dololo, the delegates resolved that the 75m/- requested for the purchase was unacceptably high.

They stated that the money would be much better spent if it was used on the purchase of tractors to free poor farmers from undue dependency on the back-breaking hoe and increase productivity.

It was initially noted in the council�s budget proposals that the director`s office would require a 75m/- vehicle that would also serve the office of the district council chairman.

Breaking the pronounced silence then prevailing at the meeting, Mlandizi Ward councillor shot up and said the idea of buying such an expensive vehicle was as awful as it was untenable.

``The most judicious way to spend such a relatively huge amount of money would be purchase tractors to help our people produce more from land-related investments and activities.

As councillors, we don`t support the idea,`` she stated, adding that it was more advisable for the request to be tabled at some other time.

Swai recommended that the request be channelled through the Regional Administration and Local Governments wing of the Prime Minister`s Office for further action ``without interfering with our council�s development budget``.

DC Dololo took a different line of argument, urging the delegates to accept the idea and endorse the budget ``because the vehicle will serve even the councillors in their official duties``.

However, the delegates were not impressed. They insisted that supporting agriculture and other sectors with more inputs mattered much more than purchasing a luxurious vehicle that would benefit only a few people and trouble the council with high running and maintenance costs.

Huu ni mfano wa kuigwa Hongera Wanakibaha
 
Kaaz kweli kweli..... Wana Kibaha kweli mmeanzisha moto na muendelee na moto huo huo.... 75M kwa gari lenye matumizi kuliko Council nzima (mafuta, maintenance etc)!!

Councils nyingine nina uhakika watafuatia hili!!!
 
Kungekuwa kuna angalau decision makers hamsini (50) serikalini wenye mentality ya namna hii nchi yetu ingekuwa mbali mno.. Pamoja na kwamba hao decision makers wa Serikalini wameenda shule mpaka kupata degree kadhaa wa kadha, wanashindwa maarifa na hawa wana-halmashauri ambao ukija chunguza utagundua kwamba viwango vyao vya elimu haviwezi kulinganishwa na hao wavaa suti wa serikalini. Ukiangalia kwa harakaharaka unaweza conclude kwamba hawa wanakijiji ni ma-genious zaidi ya watu wa kwenye ofisi ya Waziri Mkuu walionunua ma-lexus ambayo walikuja kuya-replace within no time kwa kutumia vigezo visivyo na msingi, na kwa maajabu hao jamaa mpaka leo wamo ofisini wakiendelea ku-make decisions zisizo na muelekeo wowote wa kutumia akili vizuri. They are supposed to be fired by now ama ku-resign ili kupisha watu watakaoweza kufanya kazi kwa kutumia akili na maarifa.

Huu ni mwanzo tu. Halmashauri nyingine zimeshapata "reference' kwamba mambo yanawezekana. Moto wa dizaini hii inabidi uendelezwe kwa nguvu zote.
 
Marvellous!!!!! wandugu haya mambo ya kuendekeza upuuzi wa kununua mashangingi wakati wananchi wanakosa huduma muhimu za kijamii umekwisha sasa... Wenye vichwa wamepata somo la bure hapo
 
SASA JAMANI HUYO MKURUGENZI ATEMBEE KWA MIGUU? MAANA SIAJAONA ALTENATIVE. JE NI GARI AINA GANI? MAANA TUSISEME TU 75M. TUZINGATIE NA HALI ZA BARABARA ZETU. TUNGEWEZA KUWA NA FORD FIESTA 1.1 LAKINI KATAFIKA WAPI? NDIYO MAANA WAKURUGENZI NA VIONGOZI WA KISIASA WANANUNULIWA 4X4 AMBAYO YATAPITA KILA PAHALA. Kwa hiyo Suala hili ni nyeti Tusikurupuke kuwaunga mkono madiwani bila kufanya uchambuzi yakinifu. au walinyimwa Posho? maana ni wazuri wa kudai posho kubwa kubwa!! Kwa hiyo kisasi kukwamisha gari la MKURUGENZI. That means mkurugenzi atunie baiskeli au atembee??? Vyombo vya usafiri ni muhimu sana sio anasa jamani. Tanzania ingekuwa na Lami nchi yote 4X4 tusingekuwa tnaagiza kama wanavyofanya wenzetu huku. Utakuta mtu mzito katika serikali au shirika kubwa tu anatumia Mini au Ford Fiesta 1.1. poa kabisa. Maana barabara ni tambarare.
 
SASA JAMANI HUYO MKURUGENZI ATEMBEE KWA MIGUU? MAANA SIAJAONA ALTENATIVE. JE NI GARI AINA GANI? MAANA TUSISEME TU 75M. TUZINGATIE NA HALI ZA BARABARA ZETU. TUNGEWEZA KUWA NA FORD FIESTA 1.1 LAKINI KATAFIKA WAPI? NDIYO MAANA WAKURUGENZI NA VIONGOZI WA KISIASA WANANUNULIWA 4X4 AMBAYO YATAPITA KILA PAHALA. Kwa hiyo Suala hili ni nyeti Tusikurupuke kuwaunga mkono madiwani bila kufanya uchambuzi yakinifu. au walinyimwa Posho? maana ni wazuri wa kudai posho kubwa kubwa!! Kwa hiyo kisasi kukwamisha gari la MKURUGENZI. That means mkurugenzi atunie baiskeli au atembee??? Vyombo vya usafiri ni muhimu sana sio anasa jamani. Tanzania ingekuwa na Lami nchi yote 4X4 tusingekuwa tnaagiza kama wanavyofanya wenzetu huku. Utakuta mtu mzito katika serikali au shirika kubwa tu anatumia Mini au Ford Fiesta 1.1. poa kabisa. Maana barabara ni tambarare.

Kwi kwi kwi,

Mkuu maarifa, huyo mkurugenzi atumie baiskeli like everybody else. Kwa nini ikifika wakati wa kujenga shule tunasema sisi ni masikini lakini kwenye kununua magari tunanunua ya fahari?
 
hold on a minute.. inaamaana hawa wanahalmashauri wameweza kufanya kile ambacho Bunge letu limeshindwa kufanya.. kukataa bajeti!?
 
Altenative ni kwamba anaweza ku drop ndoto za gari la 75m na wakatafuta cheaper .Atembelee kwenda wapi ? Barabara mbovu ni jukumu la serikali kutengeneza ziwe imara namagari ya kawaida yaweze kutumia .Wampe 110 inamtosha na inaweza kupita kote huko si lazima Land Cruiser .
 
Back
Top Bottom