Kibaha barabara imefungwa kupisha kiongozi kuhani msiba

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Inasemekana kuna kiongozi wa juu kaenda kuhani msiba huko kibaha, barabara zimefungwa toka saa 8, hadi arudi toka msibani.

Kama hii ni kweli basi nchi hii kuna shida kubwa sana.

Hata kama ameenda kwa sababu za kitaifa, kiongozi mmoja hawezi weka watu njiani kwa saa 2.
 
Inasemekana kuna kiongozi wa juu kaenda kuhani msiba huko kibaha, barabara zimefungwa toka saa 8, hadi arudi toka msibani.a

Kama hii ni kweli basi nchi hii kuna shida kubwa sana.

Hata kama ameenda kwa sababu za kitaifa, kiongozi mmoja hawezi weka watu njiani kwa saa 2.
Acha kunywa gongo asubuisubui, saizi ndio Kwanza saa nne, we unasema saa nane, au saa nane za Australia
 
Hapo Mbezi tulisimamishwa half an hour tunasubiri mkubwa apite, nchi za namna hii kupiga hatua will take forever.
Hata US watu husimamishwa hadi nusu saa, acha makasiriko na tembea uone
 
Inasemekana kuna kiongozi wa juu kaenda kuhani msiba huko kibaha, barabara zimefungwa toka saa 8, hadi arudi toka msibani.

Kama hii ni kweli basi nchi hii kuna shida kubwa sana.

Hata kama ameenda kwa sababu za kitaifa, kiongozi mmoja hawezi weka watu njiani kwa saa 2.
Mkuu nikupotezea tu hata ukiliaje haitasaidia kitu kwani ilishapangwa hivyo toka zamani kutakuwa na msiba kibaha na barabara kufungwa masaa mawili. Kila kitu ufanyalo ama litokealo lilishapangwa zamani itakuwa hivyo.

Ni kuwa tu mpole na kukubaliana na hhali halis forces of human nature
 
dah! kwani wakiruhusu kwa angalau saa 1 hivi watu wapite kisha wafunge nusu saa kabla hajaondoka huko, kuna ubaya gani?

Kwenye katiba mpya dak 5 zitatosha wao kutumia na wengine tukaendelea na hamsini zetu.

Mbona kwingine inawezekana?
 
Inasemekana kuna kiongozi wa juu kaenda kuhani msiba huko kibaha, barabara zimefungwa toka saa 8, hadi arudi toka msibani.

Kama hii ni kweli basi nchi hii kuna shida kubwa sana.

Hata kama ameenda kwa sababu za kitaifa, kiongozi mmoja hawezi weka watu njiani kwa saa 2.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii ni moja ya mbinu ya watawala kupima ujinga wa wananchi,tunasimamishwa saa nzima tunalalamika,msafara unapopita tunaushangaa tu unavyopita na speed huku wakitucheki kwa dharau!
 
Back
Top Bottom