Kiba anakosea wapi? Inakuwaje yeye ni mcheza mpira ila dili ya soka anapewa Diamond!!??

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
325
2,292
Wakuu tuongee kidogo tunajua fika dili za matangazo zina vigezo vingi mpaka kuzipata. Kigezo kimojawapo ni kuhusianisha product na balozi wa product.
Mfano tunategemea dili ya mapishi au chakula Shilole awe na nafasi kubwa kuipata. Au dili ya ishu za corporate ni rahisi Vanessa Mdee kuipata kuliko Msaga Sumu.

Tumeshtushwa kidogo kuona dili ya kampuni ya kubahatisha hususani mchezo wa soka anapewa Diamond ambae hajui ata kupiga danadana na nimeskia jamaa kakunja pesa ndefu.

Kwa uelewa wangu mdogo wa mambo ya kuuza image nilitegemea Kiba ndio angechukua mchongo sababu anafanania na product inayoenda kutangazwa. Sababu kiba ni mwanamuziki lakini pia ni mwanamichezo tena amecheza soka mpaka ngazi ya ligi kuu.
Sasa nimebaki najiuliza Kiba anakwama wapi? Dili kama hizi hana watu wazuri wa kumuuza awe anazipata? Hivi baada ya ile dili ya tembo Ali kiba ameshawai kupata dili gani ya ubalozi? Anakwama wapi mshikaji?
 
Issue ni yupi anakubalika zaidi kwa sasa na anaweza kuvuta attention kubwa? Kiba hapo ndo alipozidiwa na6 mondy
 
Kati ya wanamuziki hao wawili, Ni mmoja ambaye ameshafanya kazi muziki Afrika Magharibi.Sidhani kama kuna cha kushangaza Biashara ni matangazo,hata hao walioingia mkataba wanataka kazi yao ijulikane,!!!
 
Wakuu tuongee kidogo tunajua fika dili za matangazo zina vigezo vingi mpaka kuzipata. Kigezo kimojawapo ni kuhusianisha product na balozi wa product.
Mfano tunategemea dili ya mapishi au chakula Shilole awe na nafasi kubwa kuipata. Au dili ya ishu za corporate ni rahisi Vanessa Mdee kuipata kuliko Msaga Sumu.

Tumeshtushwa kidogo kuona dili ya kampuni ya kubahatisha hususani mchezo wa soka anapewa Diamond ambae hajui ata kupiga danadana na nimeskia jamaa kakunja pesa ndefu.

Kwa uelewa wangu mdogo wa mambo ya kuuza image nilitegemea Kiba ndio angechukua mchongo sababu anafanania na product inayoenda kutangazwa. Sababu kiba ni mwanamuziki lakini pia ni mwanamichezo tena amecheza soka mpaka ngazi ya ligi kuu.
Sasa nimebaki najiuliza Kiba anakwama wapi? Dili kama hizi hana watu wazuri wa kumuuza awe anazipata? Hivi baada ya ile dili ya tembo Ali kiba ameshawai kupata dili gani ya ubalozi? Anakwama wapi mshikaji?
Kila mțu hula kwa urefu wa kamba yake
 
WENGI HILI JUKWAAA NI KAMA WATOTO WANAONZA KUPEVUKA, JUST DAILY KUMZUNGUMZIA KIBA KWA UPUUZI ULITAKIWA UJIULIZE ni kazi ngapi umekosa huku unaziweza na kupewa mwingine ambaye ajawahi kuonekana anafanya RIZIKI ZA WATU usizigeuze TOPIC we kijana Kwa nini wasichukue wacheza mpira wamejaa bongo
 
Kwanza diamond yupo level za juu na ana mashabiki wengi Sana lakini pia ni mzuri kwenye promotion we jiulize ile mo faya imeshia wapi? Aijulikani duniani Wala mbinguni.
 
mbona ujashangaa hawajapewa wachezaji wa simba,yanga azam ama taifa stars akapewa diamond ambaye si mchezaji

mshangao wako ni wa kipumbavu
Sasa hao wana influence gani ukiwalinganisha na mtu kama Kiba?! Unampa vipi dili mtu ambae following yake Instagram haifiki hata 500K wakati biashara hivi sasa imehamia Instagram?!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom