Kiba anakosea wapi? Inakuwaje yeye ni mcheza mpira ila dili ya soka anapewa Diamond!!??

Nyie watu achaneni na maisha ya watu tafuteni pesa, haya mambo ya kujadili wanaume mwisho mnaishia kuwa mashoga mbanduliwe.

Yani kama were vile..we umetafuta hizo pesa umepata ngap...pia hapo Luna kosa gan kujadili opportunity ya MTU kupata na kukosa,huon kuna watu wanajifunza

Nyaaaaaau.....
 
Team imbayo iko nyuma yake inajua kazi yake pia diamond unajua kuji-brand

Pepsi now wanauza sana kwasababu ya kumuweka mkubwa wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom