Kiasi gani kikubwa uliwahi kuhonga?

Niliwahi kumpa answer sheet yangu mdada akakopi majibu yote katika test two.
Pia nimemaliza kusomesha mtu mwezi uliopita. (Huku kunaitwa kuhudumia).
Mara ya kwanza kuhonga pesa nyingi ilikuwa ni 200k siku hiyo sikuweza kulala muda wote nilikuwa nawaza zile pesa tu enzi hiyo nilikuwa apeche alolo.

Kuhonga kama hauna kitu inahitaji uwe na moyo wa chuma
 
Kuhonga ni kumpa demu mpunga au kitu huku ukiwa hauna mahusiano naye labda lengo ni kumrubuni na kumvuta kwako!

Kama una uhusiano na Demu/Msichana na ukampa fedha/Mpunga au kitu/vitu huko sio kuhonga bali ni Mapenzi.
 
Nilimpa demu wangu peni kwenye chumba cha mtihani wa moku mkoa nikatia huruma nikapewa peni na mshika baada ya nusu saa ule ujinga sitakaa niusahau.
 
Back
Top Bottom