kiasi gani anafikishiwa mmiliki wa bajaj na bodaboda kwa siku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kiasi gani anafikishiwa mmiliki wa bajaj na bodaboda kwa siku

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by muuza ugoro, May 20, 2012.

 1. muuza ugoro

  muuza ugoro JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wandugu, tafadhali naomba julishwa ni kiasi gani minimum kwa siku anapata mmliki wa bajaj na bodaboda kwa mkoa wa Dsm wilaya ya kinondoni?
   
 2. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Kama we ndo mmiliki uamuzi ni wako. unoongea na huyo unayemkabidhi(MAPATANO) hakuna kanuni ktk hili.
   
 3. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu, tunazungumzia kuhusu Average au Mean amount, yaani kwa kukadiria kwa siku inakuwa ni kiasi gani? Unaweza ukaweka katika range..... shilingi X hadi shilingi Y kadirio.
  Ndugu muuza ugoro amewakilisha   
 4. K'T

  K'T Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  makadilio ni elfu 50 kwa boda boda na bajaji ni laki kwa wiki
   
 5. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Bajaj ni elfu 15 hadi 20 kwa siku.
  Bodaboda ni elfu 10 hadi 15 kwa siku. Nimeprove hilo na nina uhakika nalo!!
   
 6. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Peoplessssssssssssssssssssss
   
 7. muuza ugoro

  muuza ugoro JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  thanx wakuu. Hapo maintance ni juu ya dereva au mmiliki?
   
 8. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maintenence ni mapatano kati ya mmiliki na dereva.
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nasikia lakini hii biashara ni pasua kichwa sana, halafu dereva hachelewi kugonga akakimbia anakuacha unahangaika na polisi.
   
Loading...