Kiashiria cha pesa kupotea: BOT yashusha zaidi deposit ratio toka 9% hadi 7% kwa mabenki kunusuru ukata mifukoni

hawezi ona mzee ikiwa kama Treasury Yields Bills huzijui

kamtafute Dr. Nkoba akufafanulie

na unatakiwa ujue kwanini hakumcopy Commissioner wa (TRA) Customs akamcopy Commisioner wa Domestic Revenue Department??

sio kila kitu uchangie
 
ulichoongea ni ukweli mtupu kiongozi sema ninachokiona ni kwamba availabilty ya mkopo itakueopo sema wananchi watashindwa kunufaika sababu ya vigezo vgumu vlivyomoo especially kweny secta nzimaa ya kodi maana saiv mkopo bila TIN hupatii na wafanyabiashara kodi zinawashinda so wanakimbia kimbiaa

Sent using Jamii Forums mobile app
na TIN no ndo kitanzi cha mfanyabiasharaa ukikadiriwaa tuuh ni kancho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too late!

Capacity ya hawa watu ni kufanya siasa za hovyo hovyo kama ku..unua wapinzani feki na sio kusimamia issue za msingi kama uchumi!!

Unavuruga uchumi wa maelefu ya watu alafu unategemea eti Mtatiro,Waitara au Kafulila akihamia kwenye chama chako ndio wewe na chama chako mtakubalika kwa wananchi.Hii sijui ni akili ya wapi!!

Nadhani Kuna Ph Dada inabidi zihakikiwe!!
Hio ni akili ya Gisenyi pekee mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Bawacha twambie ni principle zipi za uchumi zinasema kuwa mabenki yanapo pewa nafuu kwenye kukopa basi ni kishirizi cha hali mbaya ya uchumi? hahahahaha bawacha bana....hakika Ikulu mtaisikia kibororoni.....
Hizo ni measures za kuencourage mzunguko wa fedha. Zinatumika pale ambapo mzunguko wa fedha pamoja na biashara zinapokuwa zinadorora ili kuuboost uchumi.
Nini maana yake, uchumi una mafua inabidi upewe dawa, au gari inamiss hivyo lazima ibadilishwe plugs
 
Mkuu tumia kiungo sahihi kutafakari, hata bia zimeshuka bei na diapers ndiyo usiseme, sasa unadhani ni kwa sababu ya uchumi kuwa vizuri au purchasing power ya watu kushuka?
kodi husababisha purchasing power ya mtu kudhorotaa sasa awamu hii imejikita kwwny ukusanyaji wa kodi ikimaanisha pesa mikononi kwa watu zmpungua...sasa ili wadumu maisha na kodi ipatikane nini kifanyike vitu kma bia vtashuka bei na vinginevyo....
na kitendo cha bidhaa kushuka bei sio kwamba uchumi umedhorota tunaeza eleza kwamba subsides kweny sekta husika imeongezekaa au urahisi wa malighafi n.k nimewaza tuuh...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tumia kiungo sahihi kutafakari, hata bia zimeshuka bei na diapers ndiyo usiseme, sasa unadhani ni kwa sababu ya uchumi kuwa vizuri au purchasing power ya watu kushuka?
kwan kuna kiungo ambacho kutafakari nje ya ubongo...? jitahidi kuchakata ubongo wako usiwe na mgando sana kweny ubongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too late!

Capacity ya hawa watu ni kufanya siasa za hovyo hovyo kama ku..unua wapinzani feki na sio kusimamia issue za msingi kama uchumi!!

Unavuruga uchumi wa maelefu ya watu alafu unategemea eti Mtatiro,Waitara au Kafulila akihamia kwenye chama chako ndio wewe na chama chako mtakubalika kwa wananchi.Hii sijui ni akili ya wapi!!

Nadhani Kuna Ph Dada inabidi zihakikiwe!!
Kazi ya kuhakiki PhD kama ulivyoagiza tayari imeanza kiongozi , na tutaifanya kikamilifu tena kwa wakati .
 
Hakuna biashara utakopa ukafanyie nini! Mimi npo kwenye coy moja ya fedha yaan unakwenda ongea na mtu kuhusu achukue mkopo anakwambia hakuna biashara, hakuna cha kuongeza kwan hata mtaji alonao anaona mzunguko ni mdogo/not utilized sasa akope tena. Kama biashara ipo hata kwa 15% watu walichukua mikopo enzi za JK lkn leo hata uweke 3% bado.HALI YA UCHUMI NI MBAYA SANA TOFAUTI NA TUNAVOIZUNGUMZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanaleta theory za vitabuni, private sector imekufa hayo mabenk yatankopesha nani? Wakandarasi walikuwa wateja wakubwa wa mabenki, Sikh hizi hakuna kazi za ukandarasi, wameleta forced account""kwenye sectar ya real estate, hali ni baya zaidi, sector yaa miningI iko hoi sector ya kilimo ni marehemu. Magufuli ameua uchumi kwa Sera zake za chuki na kukomoana
 
wakipandisha mtasemaje tena,,bank waliomba ate zipungue ili waweze kukopesha kwa riba ndogo na watu wengi zaid sasa wamesilozwa mnaanza sema vingine,sbabu zipo nyingi mojawapo ni hii.
 
Hivi unajua maana ya discount kwenye bei ya bidhaa? Hapa tunazungumzia discount ambayo ilikuwa ikitolewa kwa mabenki haya yakichukua mikopo BoT. Bidhaa hapa ni mikopo. Anayeuza bidhaa hii ni BoT kwa faida inayoitwa interest (riba). Mteja anayechukua bidhaa hii kwa wingi alikuwa akipewa discount ya kiwango fulani ili kumvutia arudi tena kununua bidhaa hii (mkopo). Sasa mwenye bidhaa (BoT) kaamua kuipunguza hicho kiwango cha discount na baadaye hakutakuwa na discount kabisa kwani bidhaa inauzika vizuri tu. Therefore the trend of course is to have zero discount. Why should we give discount to public money? BoT imepunguza na inaendelea kupunguza interest rate ya mikopo. Hiki ndicho kivutio kinachoeleweka cha watu/mabenki kukopa na siyo kutoa discount za mikopo.
Unatumia nguvu nyingi kutetea upuuzi, tatizo lenu .mnajichanganya. Mnasema sectar binafsi niwezi, mnasema mnajenga uchumi wa kijamaa, hapo hapo mnageuka mnasema mnataka mabenk yakopeshe biashara, huku mnakataza taasisi za umma kufanya biashara na serikali,mnaua sector binafsi makusudi.,hata riba ifike 1% kwa uchumi huu hakuna atakayekopa
 
Mapaka ya lumumba yananusa humu afu yanaishia kimya kimya kuita policcm kujibu hoja.

Sent using Mikoyan MiG-29
 
Hivi mi ndio sijaelewa au?. Discount rate huwa Inapanda na kushuka kama ilivyo kwenye barua. Hizo ni rekodi ambazo hata enzi za Jakaya zilikuwepo.

Mi nijuavyo, those are economic measures, and they operate in both ways of economic conditions. Na je? BOT itakapopandisha tena kuwa 9% mtashauri nini?

Mapungufu ya uchumi wetu ni way far from credit instrument we have. Monetary measures ni intervention tool not a cure to our economic problems.

Basi mi naomba tutume akili na siyo jaziba za Kisiasa kujadili hii inshu, maana ina mengi mazuri na mabaya ya kujifunza kuliko mipasho mnayoleta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulivyoanza kuandika, ni kweli hujaelewa msukule wa Lumumba. Sasa hizo unazoziita measure huwa zinatumika kufanya nini???Si zinatumika kurekebisha hali ya uchumi, sasa kama benki kuu imeshusha discount yake si inataka watu wakope???Na kama inataka watu wakope si inamaanisha watu hawakopi na kama watj hawakopi maana yake shughuli za kiuchumi na biashara zinadorora??Wewe endelea tu kuimba mashairi ya Komba wakati hali inazidi kuwa mbaya mtaani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom