Kiashiria cha pesa kupotea: BOT yashusha zaidi deposit ratio toka 9% hadi 7% kwa mabenki kunusuru ukata mifukoni

Uongozi siyo kujua kila kitu ni namna unavyowatumia wataalam wa fani mbalimbali kwa uwiano mzuri kuliletea Taifa maendeleo
Hakuna MTU anayejua kila kila kitu lakini kila mtu ana kitu anachokijua
Unapowapa wataalam majukumu ya kufanya lazima uwaamini
Lazima usikilize wanachokuambia wataalam siyo kusikia unachotaka waseme
 
Tangu lini taasisi za umma (eg tanesco, ttcl, BoT, UDSM etc) zikafanya biashara na serikali? Au hujui maana ya taasisi za umma?
Kwani makampuni binafsi siyo taasisi ya umma??, shule mlienda kusomea ujinga? Elimu za kukariri ni janga LA taifa
 
Jiwe huwa hapendi ukweli uanikwe yani namuonea huruma sana kiongozi wa BOT aliyeruhusu hii habari itoke, jiwe anatakaga mambo yaliyomshinda jamii isijue yaende kimya kimya ila yale mambo yanayomtukuza yapewe kipaumbele

Kiukweli hali ni mbaya tena mbaya zaidi tuombe mungu afanye miujiza yake vinginevyo watu tutakimbiana mjini umu.
 
Tunaomba sana mtuangalie sisi maskini mtushushie interested rate mpaka angalau14% nasisi pia tukope tufuge hata kuku. Najua kwasasa mna 17% lakini shukeni mpaka 14% ili mtusaidie.

Natumaini mtayapokea maoni yangu haya na mtatufanikishia kama tulivyoomba....
 
Kuna vitu havifichiki, hauwezi ukadanganya. Mojawapo ya vitu hivyo ni hali ya uchumi. Ikiwa mbaya au nzuri itafahamika tu hata kama media
IMG_2006.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanakumbuka shuka kunakucha, Haya ndo mambo walitakiwa kuyafanya mapema sana toka mwanzo!.

Ile move ya kuondoa pesa za serikali kutoka kwenye mabenki ya biashara ilifanywa emotionally zaidi kuliko rationally!, Serikali haikujua kuwa ina wajibu na faida kwa nchi kuwa na Mabenki imara na wakati huohuo kuwa na mzunguuko reasonable wa fedha nchini!

Ondoa huyo Waziri mpango, mipango yake imetufikisha hapa
Mkuu I concur with you. Kuna tangazo la TRA linasikika Ktk radio linahamasisha wafanyabiashara wenye malimbikizo ya Kodi wawahi MSAMAHA wa Kodi kabla ya December! Namna lile Tangazo linavorudiwa rudiwa limenipa picha flani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa huyo unae mpunguzia riba wakati ni 9%kipindi cha nyuma alimudu kulipa iweje upunguze?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jiwe huwa hapendi ukweli uanikwe yani namuonea huruma sana kiongozi wa BOT aliyeruhusu hii habari itoke, jiwe anatakaga mambo yaliyomshinda jamii isijue yaende kimya kimya ila yale mambo yanayomtukuza yapewe kipaumbele

Kiukweli hali ni mbaya tena mbaya zaidi tuombe mungu afanye miujiza yake vinginevyo watu tutakimbiana mjini umu.
Ndio ukweli huu, cha kusikitisha wananchi wengi hawajui tabia hizi za ajabu. Na mitaani hali ni mbaya kweli, mabenki yaliyokufa na biashara zinazofungwa zimesababisha maelfu kupoteza ajira, inaumiza sana. Lakini majitu majinga kutwa kusifiana.
 
Back
Top Bottom