Kiapo kikali kuliko chote, ambacho ukikiuka unapatwa na matatizo makubwa sana!

Kiapo ni suala la imani iliyopo akilini na moyoni mwa mtu tu

Kama utaapa na huna imani na kiapo chako hata ukienda kinyume nothing will happen

Hebu jaribu kuwafanya wazazi wako (Wakati huamini maapizo yao) wakuapize ya kukuapiza halafu urudi hapa utuambie yaliyokukuta au ambayo hayajakukuta.
 
cha kuchanjiana damuuu...mnaambizana maneno mfano "...ukifanikiwa unikumbukeee.."...ntakupenda na sitokaa nikuachee...""
 
cha kuchanjiana damuuu...mnaambizana maneno mfano "...ukifanikiwa unikumbukeee.."...ntakupenda na sitokaa nikuachee...""
Duuuuu.....hii nasikia konki sana, sema nasikia ni ishus za mapenz mapenz zaidi
 
Kiapo cha damu mfano ulimp ahadi ya kumuoa mwanamke ambaye umemtoa bikra yake hakika pale kuna maagano ya damu usipomuoa bas maisha yko yote yatakuwa na mikosi na laana mpka kufa kwako nmeshuhudia hii kwa watu wengi sana
 
degree ya kwanza ya freemason;ninaapa mbele ya mastermason kua nitakapotoa siri ya jumuia,kifua changu kipasuliwe na moyo wangu utolewe mbele ya jumuia yetu.................degree ya pili;nina apa kua iwapo nitatoa siri nje ya jumuia au ndani ya jumuia kwa mtu asiehusika,ulimi wangu utolewe nje huku ninaburuzwa chini ya bahari
Duuh....nini kinafuata baada ya kiapo hicho? Kukanyaga vitu vitakatifu?
 
degree ya kwanza ya freemason;ninaapa mbele ya mastermason kua nitakapotoa siri ya jumuia,kifua changu kipasuliwe na moyo wangu utolewe mbele ya jumuia yetu.................degree ya pili;nina apa kua iwapo nitatoa siri nje ya jumuia au ndani ya jumuia kwa mtu asiehusika,ulimi wangu utolewe nje huku ninaburuzwa chini ya bahari
Acha hizo.......
 
Back
Top Bottom