Kiapo cha Utii wa Wabunge Ijumaa 12 hadi 16 Novemba 2010

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Nilisikia kwenye ITV leo 9.11.2010 kwamba waheshimiwa wabunge wetu wanakula kiapo cha utii kuanzia Ijumaa 12.11 hadi Jumanne 16.11.2010.

Nilifurahi sana, lakini nilipokumbuka jambo moja furaha hiyo ikanywea. Eti si wote wana sifa ya kuitwa wabunge-wale jamaa waliopinga wapinzani wao ngwala na wengine kuhonga mamilioni ili wabaki wenyewe waingie kwa chee.

Sijui kama walijua kiama hiki ama ndo wamekwisha chukua kandambili zao na kuingia mitini ndani ya jiji la Dodomia????
 
Back
Top Bottom