Kiapo cha tanzania kina kasoro-kirekebishwe

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
794
402
Wengi wetu tumewahi kusikia kiapo cha TZ kinachotumika na Mawaziri,wabunge n.k.kuna sehemu kinasema "NITAITUMIKIA KWA MOYO WANGU WOTE" Kibadilishwe na kusomeka hivi "NITAITUMIKIA KWA MOYO WANGU WOTE NA KWA KWA AKILI YANGU YOTE"Wengi au baadhi hawatumii akili,itasaidia watu kutumia akili pia katika uutendaji wao..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom