singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
na huo ndo ukweli wenyewe. majangili kwa vyovyote yatakuwa yapo ndani ya tanapa yenyewe. aanzie hapo kama kweli yuko serious kuliondoa hili tatizo.Majangili wapo ndani ya TANAPA. Safisha TANAPA utamaliza ujangili.
Watawasiliana na kupanga mikakati mipya ili wasikamatane na kuaibishanaMaghembe atangaza kiama dhidi ya Kinana.
Mimi nildhania ni habari kumbe ni....
Alishawahi kuwemo kwenye orodha ya mawaziri mizigoalivyokuwa waziri wa maliasili na utalii kipindi cha nyuma mbona ujangili ulikuwepo kiasi cha kutisha..huu ni usanii tu huyu waziri ni mzigo
Kweli kabisa...haya maigizo sasa basi!
...hatutaki,TUMECHOKA!!