KIAMA CHAJA: WANANCHI MASIKINI wa TANZANIA Vs Wabunge maslahi wa chama cha Magamba CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIAMA CHAJA: WANANCHI MASIKINI wa TANZANIA Vs Wabunge maslahi wa chama cha Magamba CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mosachaoghoko, Jul 6, 2011.

 1. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndg,wana jf kuna hatari kubwa ya kutokea mtafaruku kati ya wananchi ambao sehemu kubwa ni masikini japokuwa hakuna aliependa awe hivyo lakini kwa kuwa hali hiyo imesababishwa na chama cha magamba{ CCM}kuwafanya watanzania wengi kuwa mtaji wao wa kujipatia kipato ambacho sii halali kutokana na kuwaingiza kwenye mikataba mibovu kuteteana na kulindana sasa wananchi wameshitukia hilo sas magamba mjihadharini sana
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Mkuu, I wish hao hao wananchi walio wengi ambao ni maskini wangekusikia. Kumbuka wakati wa kampeni na uchaguzi wakishapewa kofia, t-shirts na khanga za bure huku wakipatiwa free concerts za bongo flavor na pilau za bure basi wanapigia kura magamba!
  Wala usiende mbali humu humu jamvini watu wa aina hiyo wamejaa tele. Labda hadi uende kwa mganga akujulishe kama watu wamerogwa ama ni akili mgando na akupatie dawa
   
 3. k

  kibaranchia Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jombaa umenena lakini sie watanzania umasikini tumeona ni haki yetu na ikitokea tukipewa haki twaona ni bahati...all in all ile siku yaja.................
   
Loading...