Mkuu tofautisha CCM na makaburu. CCM ni Chama kiongozi na mfano kwa vyama vyote vya Afrika; historia yake ya kuhakisha uhuru wa Afrika Kusini na nchi nyingine inafahamika.
Tofauti yao makaburu walikuwa weupe na wakitumia nguvu na akili ndani yake, tofauti na ccm ni meusi tii,nguvu nyingi na akili kidogo.
 
Tofauti yao makaburu walikuwa weupe na wakitumia nguvu na akili ndani yake, tofauti na ccm ni meusi tii,nguvu nyingi na akili kidogo.
Huo ni mtazamo wako ila wananchi tunatambua na kuona uwezo mkubwa wa viongozi wa CCM katika kuleta maendeleo endelevu ya nchi hii.
 
Vyombo vya dola sio wananchi. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Mtazamo wako uko katika ubaguzi wa rangi. Maamuzi ya wananchi ni lazima yaheshimiwe kwa sababu ndiyo waliokipatia Chama Cha Mapinduzi dhamana.
 
Mtazamo wako uko katika ubaguzi wa rangi. Maamuzi ya wananchi ni lazima yaheshimiwe kwa sababu ndiyo waliokipatia Chama Cha Mapinduzi dhamana.

Kura za kwenye mabeg, na tume ya Uchafuzi isiyo huru sio wananchi.
 
Back
Top Bottom