KIAKA 53 ya Uhuru shida ya maji ubungo imezidi kukomaaa

chapachapa

Member
Jan 14, 2013
93
21
Sasa hii ni SIFA ..... kwamba Tanzania inaadhimisha miaka 53 lakini wananchi wake hasa sisi wakazi wa ubungo Kisiwani, Riva side na maeneo yanayozunguka hatujapata maji safi ya kunywa zaidi ya siku 40 .....yaani hatuko mbali na jiji tuko mjini tena tuko barabara kubwa ya mandela......... ila cha ajabu hakuna kiongozi anayejali hali hii... tunaishi kwa kunywa maji yasiyokuwa salama na wenye nazo wanagharamia maji ya MeTL na Baharesa ....... hali ni ngumu sana maji safi ni moja ya maendeleo kwa wananchi lakini maji hayajatoka muda mrefu bila ya kuwa na taarifa za kuridhisha kwa wananchi sisi hii hali itakwenda mpaka lini? Haakuna dalili ya sisi kupata maji safi ya kunywa wau wako kimyaaaaaa na magari yao na viyoyozi ............taifa lisilojali wananchi wake ni hatari hata mwenyezi MUNGU hapendi....... mnashangilia miaka 53 ya uhuru lakini hata maji ya kunywa ni dili....... MUNGU tusaidie
 
Back
Top Bottom