Kiafya mtu anatakiwa kujisaidia haja kubwa mara ngapi kwa siku?


busha

busha

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Messages
246
Likes
191
Points
60
busha

busha

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2019
246 191 60
mara mbili ama tatu,,,na unatakiwa ushushe mzigo wa haja,,,sio vya mbuzi
 
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
9,238
Likes
7,172
Points
280
Age
49
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
9,238 7,172 280
Umenikumbusha jeshini kipindi tuko kwenye gwaride eti kuna afande alikuwa anatuambia askari unatakiwa kujisaidia saa kumi na moja alfajiri hadi saa mbili usiku ndo ukajisaidie tena
Kwa kijana inabidi kiafya ajisaidie mara ngapi kwa siku haja kubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,514
Members 485,585
Posts 30,124,591