The Bleiz JF-Expert Member Jan 7, 2012 5,063 13,461 Oct 12, 2020 #2 Politishiani ana mtumbo kimsanii kimbao mbao.
2hery JF-Expert Member May 27, 2011 4,700 4,616 Oct 12, 2020 #3 Aione Marlow na Nakaya kwa masikitiko zaidi.
B brazaj JF-Expert Member Jul 26, 2016 27,226 35,151 Oct 12, 2020 #4 Sky Eclat said: View attachment 1597487 Click to expand... Pana mgombea katika wote kumi na ushee kutamka neno 'haki' kwake haiwezekani. Kwa mtu wa kawaida ni ngumu sana kuelewa. Inzi ni inzi tu.
Sky Eclat said: View attachment 1597487 Click to expand... Pana mgombea katika wote kumi na ushee kutamka neno 'haki' kwake haiwezekani. Kwa mtu wa kawaida ni ngumu sana kuelewa. Inzi ni inzi tu.
cmoney JF-Expert Member Oct 14, 2011 3,551 5,445 Oct 12, 2020 #5 WASANII NAO NI WANANCHI WANA HAKI ZAO..AU HADI WAFANYE WAMAREKANI NDO IKO SAWA.. https://www.billboard.com/articles/...rsing-2020-democratic-presidential-candidates
WASANII NAO NI WANANCHI WANA HAKI ZAO..AU HADI WAFANYE WAMAREKANI NDO IKO SAWA.. https://www.billboard.com/articles/...rsing-2020-democratic-presidential-candidates