khs tanesco

vjs1

Member
Jun 20, 2019
36
17
Habari zenu wandugu..Naomba kuwekwa sawa kidogo ktk hili...Tanesco wameniita nikafanye Usaili ila baadhi ya watu wanasema tanesco n warasimu kazi zao wanapeana tu wenyewe ht nikienda kufanya lkn watu wao wameshawapanga tyr ,je kuna ukwel wwt khs ili ndugu zangu..Mwenye kufahamu anipe mrejeSho.
 
Habari zenu wandugu..Naomba kuweka sawa kidogo ktk hili...Tanesco wameniita nikafanye Usaili ila baadhi ya watu wanasema tanesco n warasimu kazi zao wanapeana tu wenyewe ht nikienda kufanya lkn watu wao wameshawapanga tyr ,je kuna ukwel wwt khs ili ndugu zangu..Mwenye kufahamu anipe mrejeSho.
Kabla ya kukushaur tupime kwanza umbali kutoka ulipo sasa na huko ulipoitwa kwenda kufanya interview?
 
Habari zenu wandugu..Naomba kuweka sawa kidogo ktk hili...Tanesco wameniita nikafanye Usaili ila baadhi ya watu wanasema tanesco n warasimu kazi zao wanapeana tu wenyewe ht nikienda kufanya lkn watu wao wameshawapanga tyr ,je kuna ukwel wwt khs ili ndugu zangu..Mwenye kufahamu anipe mrejeSho.
Unaomba kuweka sawa?
 
Umeshafail mpaka hapo kutokana na hiyo dhana uliyoibeba kichwani kuwa watu wanaopata kazi tanesco wanabebwa
nimeulizwa tu mdau,,maana watu ambao niko karibu nao nasikia wakisema hayo maneno ndy maana nikasema ngoja niulize kwa wenzangu huku kama pana ukweli juu ya hilo
 
nimeulizwa tu mdau,,maana watu ambao niko karibu nao nasikia wakisema hayo maneno ndy maana nikasema ngoja niulize kwa wenzangu huku kama pana ukweli juu ya hilo
Hutakiwi hata kuuliza....wewe nenda kafanye interview sio kuhoji hivi tanesco huwa kuna kubebana ....sasa mwanzoni ulipokua una omba maombi hukujua hukujilidhisha kujua hilo kabla hujatuma? Sahivi umeitwa unaanza kujipa maswali na majibu sumu ya kwanza ya kujikosesha kazi na ndiyo vijana wengi wanafail kupata ajira kwa sababu hii
 
Nenda kajaribu bahati yako.. Tanga mbona karibu tu hapo..
Jaman watu wa TANESCO mmetupigia simu kuwa usaili wa kwanza ulifutwa inatakiwa tuje kurudia kesho tar 13 July 2019. Venue mkasema mtatuambia kwa meseji, sasa cha ajabu mpaka muda huu hakuna meseji yoyote kuonesha hiyo venue na muda mlisema saa moja na nusu asubuhi. Kama hili jambo ni gumu kwenu wapeni watu wa UTUMISHI wawasaidie.
 
Tatizo venue hatujui
 
Kuna dogo aliomba kujitolea bure kisa haji ongezee uzoefu baada ya nafasi kutangazwa sasa kilicho tokea ndio boss mpaka wa supervisor wa aliyetangaza hiyo nafasi nitasimulia kesho ilikuwaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom