Diplomasia na Marekani sio jambo ambalo mtu yeyote anaweza kulizungumzia.
Sisi ndio wanafaika wakubwa na diplomasia hiyo.
Haya mambo aachiwe waziri mwenye dhamana na rais.
Kiutaniutani utakuta tumeshajipaka tope la kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana makalio makubwa. OverPovu lote hilo sababu ya Makonda? Kwani Makonda ana cheo gani UVCCM au CCM?
Sent using Jamii Forums mobile app