Rejea ambato. Mjadala unaendelea. 2010 inakaribia.
Maalimu Seif was A Chief minister for many years in Zanzibar. At this time Zanzibar witnessed a high level of social discrimination. Issues related to Education, health and occupation of high Governmental posts were mostly skewed towards Pembas. There has been no moments other than this in Zanzibar history where feelings and self identification of citizens based on u-Pembas and u-Ungujas were at the highest level. Since then risings of "false" Zanzibaris nationalism have been on the increase, threatening the very survival of the two Islands.
.
Khaa waraka gani huo? Hizo si porojo za vijiwe vya kahawa tu. Hamna mpya humo. No logic. Halafu unataka awe Kiongozi. Khaa!!! AbadanUnao ushahidi kuwa malim seif anachochea uPemba na Unguja au hii ndio njama ya wakoloni wetu wa bara wanataka kututawala daima. kama unaubavu basi jibu huu waraka. sio utuletee porojo. Mpemba aliokuwa hakusoma ni sawa na mbara aliyemaliza darasa la 12.
Unao ushahidi kuwa malim seif anachochea uPemba na Unguja au hii ndio njama ya wakoloni wetu wa bara wanataka kututawala daima. kama unaubavu basi jibu huu waraka. sio utuletee porojo. Mpemba aliokuwa hakusoma ni sawa na mbara aliyemaliza darasa la 12.
Khaa Wewe Mwanjelwaa achana naye huyo. Watanzania wenye asili ya ZANZIBAR ni watu mahiri sana, sio hao wa porojo akina Maalim Seif --unaowasikia. Hana mpya huyo.Tena kweli. ka jinsi ulivyoaandika hii message yako inaonyesha kweli una shule ya kutosha na m-bara yoyote hakuwezi.
Mnajishusha mno pasi wasi wasi. Hakuna mtu anawatala nyie na hakuna sababu. Nyie hamna uhakika direction yenu. Na hii inatokana na Maalimu Seif kuwakoroga sana. Ndiyo sababu bara tutahakikisha kwanza mnajifahamu nyie ni nani ndiyo tutawaachia. Otherwise, vurugu kasheshe za Somalia zinatosha sana pwani ya Africa mashariki. hatuhitaji wengine kama hao
Kwa kauli yako inaonesha chama cha CUF kimekaa kama cha kidini vile???!! Kwa nini isiwe msikitini au Jamatin??Bro kama maalim atatuwachia sisi vijana basi muungano tunauvyeka siku hiyo hivo waache wakaupeleke huko kanisani sio Zanzibar. hatutaki kutawaliwa tena hapa lazima wazanzibari wajitawale wenyewe tumatawaliwa for so long.
Umahiri gani mulionawo labda Ujambazi kama kweli munaumahiri musingekufa kwa njaa rasilimali zote mulizonazo lakini njaaaaaaaaaaaaaa tupu niaubu hii inaonesha vichwa maji jiinchi lote hilo lakini munakujakufanya kazi za uboi zanzibar.
..siku zote ZNZ wanazungumzia kugawana tu, never kuchangia.
..visingizio anavyovitoa Maalim Seif kuhusu mchango wa ZNZ, or specifically kutokuchangia, ktk masuala ya Muungano vinashangaza sana.
..makala ya Maalim Seif imesheheni maoni na uchambuzi wa wanasheria. sasa binafsi natamani siku zijazo atafute ushauri na maoni ya wataalamu wa fani nyingine kama uchumi na sociology.
Ushahidi gani unaotaka ikiwa wewe tayari umekwisha sema Mpenda ambaye hakusoma ni sawa na Mbara aliyemaliza darasa la 12.. Hii ndio elimu ya Mpemba..Unao ushahidi kuwa malim seif anachochea uPemba na Unguja au hii ndio njama ya wakoloni wetu wa bara wanataka kututawala daima. kama unaubavu basi jibu huu waraka. sio utuletee porojo. Mpemba aliokuwa hakusoma ni sawa na mbara aliyemaliza darasa la 12.