Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Naona una edit! Sijui anakubalika na nani naona wote washamchoka mahamba yuleMimi ndo nimejenga shule za kata ,mimi ndo nakubalika kuliko wote ccm, Mimi ndo nilishinda urais nikaibiwa kura, hahaha lowasa bwana
Mimi sijaribiwi, mimi ni rais ninayejiamini teteteteteteteteteteteMimi chezea wengine tu...ila siyo kampuni yangu
Kijana wa bashite kazini.Mimi ndo nimejenga shule za kata ,mimi ndo nakubalika kuliko wote ccm, Mimi ndo nilishinda urais nikaibiwa kura, hahaha lowasa bwana
Ukichoka Mimi .....Mimi.....Mimi......unahamia kwenye yangu........yangu.......yangu....Mimi ndo nimejenga shule za kata ,mimi ndo nakubalika kuliko wote ccm, Mimi ndo nilishinda urais nikaibiwa kura, hahaha lowasa bwana
Hahahha katika utawala wangu mm.............Mimi sijaribiwi, mimi ni rais ninayejiamini tetetetetetetetetetete
Unajipaka upupu, unawashwawashwa na kujikuna mwenyeweMimi ndo nimejenga shule za kata ,mimi ndo nakubalika kuliko wote ccm, Mimi ndo nilishinda urais nikaibiwa kura, hahaha lowasa bwana
Kama ' siye' ni nani basi?!!
You are great thinker mkuu.Kagasheki vs Nyalandu